Hiyo ni hali ya kiwango cha juu ktk kuepukana na uchafuzi wa hali ya hewa duniani kwa kupunguza hewa ukaa (carbon monoxide) baada ya China kutengeneza magari yanayotumia umeme na kuwakabidhi...
M Chumvi
Wahamiaji Walowezi 6000 Wilayani Kiteto Mkoani Manyara, wameanza kutambuliwa kwa kuingizwa katika mfumo wa Kompyuta.
Kimkoa uzinduzi huo ulifanyika Kata ya Sunya Wilayani Kiteto, ambapo...
Tunakumbuka mvua zilizonyesha mwaka huu zilileta hasara kubwa kwa wananchi waishio kando kando ya mto Msimbazi. Kama sikosei kulikuwa na TAMKO la Serikali kuwa litakuja na suluhisho la kudumu ili...
Steve Jobs' last words
Steve Jobs was CEO and maker of iPad...iPhone etc.
He died a billionaire at 56yrs of Pancreatic Cancer and here are his last words on the sick bed:
"I reached the...
Usimuone mtu TUMBO limemvimba kama mpira unaokaribia kupasuka kwa kujazwa sana Upepo.
Ukatamani kupata Tumbo kubwa kama hilo,
Usiombe kuwa na NJAA iliyokomaa kwani NJAA iliyokithiri ndiyo...
MKUU wa Polisi Kiteto, SP Fadhili Luoga, ametoa masaa 48 kwa wafugaji wa jamii ya kimasai waliofanya uhalifu kujisalimisha.
Uhalifu uliofanywa ni kulisha mifugo kwenye mashamba ya wakulima...
Watanzania, Mungu ametubariki sana lakini inabidi tukae chini tujiulize ni wapi tulipo mkosea Mungu,
Mambo mengi ya mafanikio tunayoyaanzisha huwa hayaendelei, wapi tunakosea? Ebu tujikumbushe...
Katika pita pita zangu za JF nilikuta Comment inasema Askofu Hhando wa Jimbo la Mbulu aliwahi Kuwapinga Ma Askofu wenzake katika Kikao Kinaitwa MV Kipalapala Jambo lilipelekea kutengwa na Ma...
Heshima kwenu wakuu,
Kuna taarifa zinadai kwamba Polisi wa Kituo cha Magomeni wamemuua mahabusu waliyekuwa wanamshikilia. Marehemu anajulikana kwa jina la Ramadhani aka Ramso.
Ramso alikamatiwa...
Ni tatizo ngani inawapelekea wawe wanachukia baadhi watu pindi wanapokuwa na mimba na wakijifungua tu wanakuwa sawa anaweza chukia ata ndg yake mme wake au mtu yeyote laini hali iyo inakuwa...
Nawapenda sana Dada zangu mpo tangu enzi za masia,Mimi nawaomba muungane mdai haki ya kutambuliwa na mlipe kodi kama Ulaya,kikubwa muwe na miaka 18 na kuendelea,akili timamu,afya njemà na muifanye...
Jamani safari hii eid nataka niende bk nshafika mala moja na wala sikutembea kiivyo ivo sasa iv nataka nitembee mpaka nipajue pote....wakuu mlioko huko naja jaman..mnipokee[emoji2]
Unaweza uishi na kiongozi wako wa baadaye bila kujua, mimi nimejiuliza hawa wengine kwenye picha hii sijawafahamu kabisa, hebu tusaidiane kuwatambua, mimi namuelewa mwenye miwani pekee ila ni siri...
WanaJF, kumekuwa na vitendo vya hovyo vinavyojitokeza kuhusiana na vijana wetu wa kiume kulawitiwa na waovu ( washenzi). Hata watu wazima pia wamekuwa wakifanywa kinyume na maumbile.Aidha mdogo ...
Nimeona haja nimimi pia kudadavua huu mvutano baina ya
TCRA (Mdhibiti aka serikali)
Visimbusi vya kuonyesha maudhui ya Umma ( ie TING, continental, ZUKU)
Visimbusi vya kulipia ( Dstv, Azam pay...
Serengeti. Mkazi wa Kijiji cha Manyata wilayani Serengeti Mkoa wa Mara, Samwel Bugi (26) amefikishwa mahakamani leo Ijumaa Agosti 17, 2018 akishtakiwa kwa kosa la kumnajisi mtoto wa miaka tisa...
Salaam kwenu wakuu..........
Katika Bara letu la Afrika ushirikina imekua ni sehemu ya fursa....[emoji387] [emoji386] .. yaani sehemu kubwa ya jamii kutokana mila na desturi zinaamini sana imani...
Habari wadau,Leo asubuhi kupitia kipindi cha power breakfast cha clouds,Waziri wa ardhi na makazi ndugu Lukuvi amenukuliwa akisema serikali inaandaa mswaada wa sheria kudhibiti sekta ya...
Naomba msaada kutoka kwa magwiji wa sheria.
Hivi kwa mfano nimemtukana Rais wa JMTZ kuwa ni Mchawi, je hili nikosa kisheria sababu mahakma na serikali ya Tz haitambui uchawi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.