Gharama za kusafiri Kigali

Mti wa Chuma

JF-Expert Member
Jul 2, 2015
331
99
Habari wanajamvi,

Natarajia kusafiri siku za hivi karibuni kwenda Kigali Rwanda kwa njia ya barabara. Arusha hadi Bukoba, Bukoba hadi Kigali.

Naomba kujua gharama za malazi huko Kigali.

Ahsanteni.
 
Habari wanajamvi. Natarajia kusafiri siku za hivi Karibuni kwenda Kigali Rwanda Kwa njia ya barabara. Arusha hadi Bukoba, Bukoba hadi Kigali.

Naomba kujua gharama za malazi huko Kigali.

Ahsanteni.
Pekua humu kuna uzi jamaa alielezea maisha ya Kigali
 
Kutoka Mwanza mpaka Kampala nakushauri uende na J4 buses nauli ni Tsh40000, ukifika Kampala lala upumzike na kesho yake asubuhi kuna mabasi mengi JAGUAR au TRINITY ofisi zao ziko jirani jirani kwa hio utachagua mwenyewe uende na bus gani. Ziko bus za kuanzia saa moja hadi saa tatu na nauli ni 40000 Ush. Kampala-Kigali ni safari ya masaa kama 9 hivi. Una swali lingine?
 
Gharama za malazi na vyakula?
 
Huna haja ya kwenda Bukoba, utapoteza muda wako njiani tu. Panda gari Arusha hadi Kahama, Kahama utapanda Gari za Kigali. Kumbuka 10,000 ya Tanzania ni kati ya 3,000 hadi 3,300 pesa ya Rwanda, hivyo beba madafu ya kutosha. Kutoka Kahama hadi Kigali ni kama sh 35,000.00 Bus Luxury zipo bomba sana.
 
Akifika kahama afanye booking apande TRINITY iko vzr sana kama vile yuko ndani ya ndege
 
Chukua basi la Arusha-Kahama.Kuna mabasi kila siku kutoka Kahama-Kigali. Ni mwendo wa masaa 8 na shs 25000 kwa mtu mmoja mmoja one way mabasi ni mengi pale ila nakushauri upande Trinity express ambayo huondoka kahama kila siku asubuhi saa kumi na mbili. Malazi inategemea na chaguo lako kulingana na bajeti yako ile inaanzia Rwf 6000 single bed kwa siku, Guest za bei ya kati ni kuanzia Rwf 20000 kwenda juu. ukiwa na laki za Tanzania utapata kitu kama Rwf 36000. Vyakula bei ni za kawaida sana Rwf 1500-2000 kwa mlo.Safari njema mkuu, Ukirudi uje utupe mrejesho.
 
Hiyo unatakiwa upande Bus toka Arusha had I Mwanza au Bukoba, ukifika Mwanza unapanda busi LA kwenda Ngara ,ZUBE/Nyehunge, unashukia Benaco au ukifika Bukoba unapanda coaster ya Ngara unashukia Benaco ,kutoka Benaco unapanda vi gari vidogo vidogo vipo Vingi hadi border ya Rwanda(Rusumo) nauli elfu 2, toka hapo unapanda kwenda kigari) inategemea utakaa siku ngapi , exchange rate ndo shida Pesa yeti ya madafu iko chini sana kwa Rwanda ,laki moja utapewa elfu 40 ya Rwanda.pambana hakuna ugumu, kama unaenda na kurudi siku hiyohiyo unaweza omba passport ya ujirani mwema ukapita ( kama hauna pass)
Habari wanajamvi. Natarajia kusafiri siku za hivi Karibuni kwenda Kigali Rwanda Kwa njia ya barabara. Arusha hadi Bukoba, Bukoba hadi Kigali.

Naomba kujua gharama za malazi huko Kigali.

Ahsanteni.
 
Huna haja ya kwenda Bukoba, utapoteza muda wako njiani tu. Panda gari Arusha hadi Kahama, Kahama utapanda Gari za Kigali. Kumbuka 10,000 ya Tanzania ni kati ya 3,000 hadi 3,300 pesa ya Rwanda, hivyo beba madafu ya kutosha. Kutoka Kahama hadi Kigali ni kama sh 35,000.00 Bus Luxury zipo bomba sana.
Kamanda Geriga upo pande hizo siku hizi?
 
Hiyo unatakiwa upande Bus toka Arusha had I Mwanza au Bukoba, ukifika Mwanza unapanda busi LA kwenda Ngara ,ZUBE/Nyehunge, unashukia KAbanga,au ukifika Bukoba unapanda coaster ya Ngara unashukia Kabanga,kutoka Kabanga unapanda vi gari vidogo vidogo vipo Vinci had I border ya Rwanda(Rusumo) nauli elfu 2, toka hapo unapanda kwenda kigari) inategemea utakaa siku ngapi , exchange rate ndo shida Pesa yeti ya madafu iko chini sana kwa Rwanda ,laki moja utapewa elfu 40 ya Rwanda.pambana hakuna ugumu, kama unaenda na kurudi siku hiyohiyo unaweza omba passport ya ujirani mwema ukapita ( kama hauna pass)
Bukoba anazunguka tu atoke chuga to kahama akifika hapo ni kupanda gari za Kigali tu en uko kabanga still anazunguka labda km anataka kwenda na kwa nkuruzinza kidogo ndo apitie kabanga bt bro usisahau kumsalimia ange kagame
 
Habari wanajamvi,

Natarajia kusafiri siku za hivi karibuni kwenda Kigali Rwanda kwa njia ya barabara. Arusha hadi Bukoba, Bukoba hadi Kigali.

Naomba kujua gharama za malazi huko Kigali.

Ahsanteni.
Toka Arusha nenda kahama hapo utanyooosha mpaka benako mpakani na pale kuna usafiri wa kutosha tu. Nilikuwa huko mwaka 2012 si lazima ufike mwanza wala bukoba kama umetokea Arusha.
 
Back
Top Bottom