Kwa nini idd iwe jumatano?

Kwa nini idd iwe jumatano?

sodoliki

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
2,593
Reaction score
2,019
Dunia mzima idd ni leo, nchi pekee inayosherekea did ni Tanzania, tatizo lii wapi?
 
Eid ni siku 4 za kusherehekea
Lakini wengi tumeanza leo
Na wengine kesho

Sent from my SM using Tapatalk
 
Yani mpaka wenyewe kwa wenyewe wanabishana wengine leo na wengine kesho ila mmoja akawauliza Saudi Arabia’s tuko sawa nao masaa hadi dakika iweje wao washerekee leo sisi kesho hakupewa jibu sahihi.
 
Kazi juu ya kazi. Hivi yule shehe alie tangaza idd ni kesho yupo nchini!?
 
Back
Top Bottom