MOSHI: Mji ambao huwezi kosa huduma kwa chochote ulichonacho

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,552
Moshi raha sana. Moshi bata sana. Pesa haiachwi mjini Moshi.

Kila huduma lazima negotiation iwepo. Iwe guest house, iwe bidhaa, iwe wadada poa, iwe chakula, iwe pombe nk...chochote ulichonacho huwezi kosa huduma.Watu hawaachi pesa kabisa.
 
Mkuu hadi vocha kuna negotiation ... Vipi na wauza luku nikienda na jero nitapata
 
Moshi raha sana. Moshi bata sana. Pesa haiachwi mjini Moshi.

Kila huduma lazima negotiation iwepo. Iwe guest house, iwe bidhaa, iwe wadada poa, iwe chakula, iwe pombe nk...chochote ulichonacho huwezi kosa huduma.Watu hawaachi pesa kabisa.
Sio kweli mkuu
 
Kuna siku nikipata tabu sana pale ymc nikikuwa Nina mia 300 nataka kwenda ushirika Wa Neema daladala nikiziomba msaada walikuwa wqnakataa .
 
Ni kweli kbsaaaa chcht ambacho bei yake haiko fixed kama vocha luku na huduma nyingn uwez negotiating ila vingine ni mwendo wa ku bargain tu

Mtu hawezi kataa hela kwa namna moja au nyingine

Inshort watu wa moshi wanaijua hela kuliko watu wa mikoa mingine
 
Malindi na Diamondi kuna Papuchi kibao za kina Manka na Haika kwa bei nafuu
 
Moshi raha sana. Moshi bata sana. Pesa haiachwi mjini Moshi.

Kila huduma lazima negotiation iwepo. Iwe guest house, iwe bidhaa, iwe wadada poa, iwe chakula, iwe pombe nk...chochote ulichonacho huwezi kosa huduma.Watu hawaachi pesa kabisa.
Nilishangaa eti nimeshuka pale stendi nikakuta watu wamefungua kaofisi kama unaulizia chochote utaenda pale mpk kuelekezwa direction lazima utoe hela ni ubunifu wa juu hata watoto wa dar hawawezi
 
Kama umeshindwa dar moshi tuachie, huku hakuna wala viepe, uwe na adabu. Na kama huna adabu huku tuteme.
 
Hivi soko la memorial kuna jeans nzuri za mtumba za kiume? Na bei inarange shilingi ngapi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom