Kheri Hansen
JF-Expert Member
- Jan 20, 2018
- 1,025
- 1,242
Wakuu mmeamkaje?
Nimefika Arusha salama, japo kuna baridi kiasi, ila hali ya hewa ni nzuri kwakweli. Mji umetulia, hamna fujo kama za Dar (mahoni kila sehemu, jam, mara ujenzi wa SGR, etc). Kwakweli nilikuwa nina muda sijatembelea hili jiji la mabilionea, ila ni tamu sana hili jiji na watu wana maisha yao, wametulia.
Njiani:
Kabla hatujaicha Dar es Slaam, tayari tukapishana na ajali kam 4 hivi (Lori kubwa la mizigo limehama njia likafyagia daraja hadi mtoni...sidhani kama kuna mtu alipona maana kichwa cha gari ndo kimezama majini/mtoni, gari ya Noah imegongwa vibaya yaani imekuwa kama chapati, Tax imepinduka imewekwa pembeni ya barabara etc.). Nikawaza kumbe ajali nyingi haziripotiwi, hasa zinatokea nje ya mji.
[COLOR=#0000ff][B]msmimi30[/B][/COLOR]
Tulikuwa tukipeana kila updates, imefika jioni kukawa na dharura flani basi akanizimia simu, na mimi nimefuta namba yake. Kwahiyo penzi limeisha nikiwa naikaribia Moshi.
Mademu wa Arusha:
Kwakweli maisha yanaenda mbio...nimeshangaa sioni demu yoyote mwenye meno yalioungua, wote meno yanan'gaaa, na wana misambwanda, flat screen sizioni kabisa. Hakika lazima nitulie na mrembo mmoja wa kichaga turudi nae Dar kupiga hela.
Watu wa Arusha:
Kwakweli sijaona mtu mwenye stress hata mmoja (Dar kila mtu ana stress, mara huyu anadaiwa kodi, mara huyu ana RB ya huyu, mara huyu kazi haieleweki, makazi hayajulikani...leo yupo kimara kesho kawe...yaani kila mtu ni mkama mjanja mjanja halafu tapeli flani hivi). Huku kila mtu anafanya kazi zake vizuri tu, na watu wanakula bata haswa, na mji umetulia...saaaafi kabisa.