Brice85
JF-Expert Member
- Oct 18, 2015
- 869
- 1,752
Wanabodi nimekuwa nafuatilia sana hili sakata la ving'amuzi kuzuiwa kirusha matangazo lakini binafsi naona kuna zaidi ya sheria nyuma yake.
Kwa mfano wanadai kuwa chaneli zote zilizosajilowa kwa leseni ya free to air (FTA) zinapaswa kurushwa na kuonekana bure. Lakini hawa jamaa wa TING na Startimes wenyewe wanatulipisha miaka na miaka ila wao wanaonekana ni malaika.
Nianze na startimes wao kifurushi kikiisha hata TBC kwa ving'amuzi vya dishi hupati ila wao wanadai vile vya antena ni bure huku vile vya antena havikamati nchi nzima kwa mapana yake ndio maana wakaleta madishi kwa sisi tulio mbali na minara yao ya antena. Cha kushangaza hawa startimes wao malaika katika hili walifunga chanel hizi za bure juzi juzi kwa muda mfupi siku chache baada ya azam, zuku na dstv kufunga lakini baadae wakazifungua mpaka leo.
Kwakuwa sheria ni msumeno naona na wao hii sheria iwaume kwani nao wanamakosa mengi tu.
Kwa hawa TING nao ndio yale yale ila hawa afadhari kwani wao angalau TBC huwa wanaicha baada ya king'amuzi chako kumaliza kifurushi lakini hii sio sababu wani hata azam nao huwa wanaiacha TBC bureeee.
Nimesoma humu aliosema mwakwembe nikajiuliza sasa nani anaafadhali mbona wote wameoza?
Kama suala la kuweka mitambo nchini hili silisemei kwani sheria zake wanazijua lakini kwa suala la chanel za bure hawa wote wanapaswa kulipa wateja gharama zote walizowatoza wateja wao kwani wate wamekosa na hakuna alie kuwa sahihi hata mmoja kwa kuanzia na Startimes, TING, zuku, dstv.
Wengine kama continento na digitek siwazungumzii kwani sijawai kuwatumia na sijui hata vifurushi vyake nawazungumzia ninao wajua waliotuibia fedha lakini bado wengine naona kama wanabaguliwa na kuwa malaika kwenye kundi la wanyang'anyi.
Sent using Jamii Forums mobile app