Mganga mfawidhi: Mtoto aliyechapwa akafariki alikuwa na majeraha mengine

Ketoka

JF-Expert Member
Sep 23, 2015
1,087
1,913
Mganga mfawidhi ametoa majibu sahihi baada ya mtoto aliyefariki kwa kuchapwa viboko na mwalimu wake huko Bukoba

Mganga huyo amesema mtoto huyo alikuwa na majeraha tofauti na yale aliyokuwa amechapwa na mwalimu wake

Majibu hayo yalipelekea wazazi na ndugu wa marehemu kususia mwili wa marehemu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazazi tena mara mtoto ni yatima mara nn ...mnatuchanganya sana.

Mwenyewe nilitaka kushangaa. Kipigo gan iko tena mbele ya walimu wenzake, ampe mpaka mtoto afe., Fimbo zinaua??au alitimia ngumi??

Nkajua ni Stress za walimu walizonazo kwasasa,,, ila inaonekana dogo alikua amepata kipondo before !!

*I shall kindly Knee to leave my Pride*
 
Politics even in humiliation and death

Sent using Jamii Forums mobile app

Dogo alikuwa analelewa na kiongozi wa dini (padri/askofu/mchungaji)
Kusema alikuwa na alama nyingine za kupigwa ni kama kusema alikuwa ananyanyaswa na kiongozi huyu.

Kiongozi huyu ni binadamu anaweza kufanya hivyo. Lakini je tunaviamini vyombo vyetu vya kutoa haki kiasi gani hadi tukubali matokeo ya uchunguzi wao??
 
Kwani mpaka hayo majeraha yawe yamesababishwa na mzazi/mlezi wake?
Na je kama alishambuliwa na wahuni huko mtaani. Au aliumia wakati wa michezo akaogopa kusema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazazi tena mara mtoto ni yatima mara nn ...mnatuchanganya sana.

Mwenyewe nilitaka kushangaa. Kipigo gan iko tena mbele ya walimu wenzake, ampe mpaka mtoto afe., Fimbo zinaua??au alitimia ngumi??

Nkajua ni Stress za walimu walizonazo kwasasa,,, ila inaonekana dogo alikua amepata kipondo before !!

*I shall kindly Knee to leave my Pride*
Nenda youtube Millard Ayo kapost mtoto aliyeshuhudia tukio zima utasikia huyo mtoto alichapwa vipi, unajua kua walimng'oa kucha moja? alipigwa na bakora nene means gongo.

Mtoto alipigwa kama mwizi wa Manzese, anawaambia sina nguvu waalimu wanasema anawaectia wakamfunga mikono na miguu mama mlezi kamkuta mwanae kafungwa mikono na miguu kavuliwa kaptula ya shule kabaki na kipensi, mikono imevimba.

Jana usiku msiba ulikua ndani kwangu, nimeumia yule mtoto kafa kikatili nikatamani hata nisingejua tukio zima. Huyu mwalimu ni MUUAJI na huenda alishaua watu hata 10 katika maisha yake.

Sent from Jamii Forums using siemens kidole juu.
 
Huyo mtoto alikua mgonjwa
Fimbo haziwezi ua mtu
Dogo inaonekana alipigwa mi ngumi au alipigwa na kitu kichwani
Afu hata angekuwa mgonjwa lakini kifo chake ni wazi kimetokana na kipigo heavy
Fimbo tu haziui.emu nenda hosp uchague mgonjwa yyt umchape tu kawaida uone kama atakufa
Dogo kapigwa mnoo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo mtoto alikua mgonjwa
Fimbo haziwezi ua mtu
-mimi nina uhakika huyu mtoto akichunguzwa vizuri, mengi watayajua

-tatizo tunaamini hawa watumishi wa Mungu hawawezi tenda dhambi

Huyu mtoto kuna mateso alikua anapata pale kwa mlezi wake

Japo sitaki kumtetea sana mwalimu.
 
Back
Top Bottom