Mabweni ya Mihayo Secondary yaungua moto

Joselela

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2017
Posts
6,900
Reaction score
9,821
*Breaking News* Mabweni ya mihayo secondary mkoani TABORA yanawaka moto muda huu, bado chanzo cha moto huo hakijajulikana.
IMG-20180829-WA0003.jpg
IMG-20180829-WA0000.jpg

Video inagoma ku upload!
=======

Mabweni mawili yaliyokuwa yanatumiwa na Wanafunzi wa Kike wapatao 124 katika shule ya Sekondari Mihayo yameteketea kwa moto usiku wa kuamkia leo

Kutokana na mshtuko wa moto huo, zaidi ya Wanafunzi 20 walikimbizwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Kitete kwa ajili ya matibabu

Moto huo ambao chanzo chake bado hakijajulikana umeteketeza baadhi ya vitu vya Wanafunzi wakiwemo wa Kidato cha kwanza ambao wengi wao wamepoteza vitu vyao vyote

Aidha, Kamanda wa Polisi mkoani humo Emmanuel Nley jana hakuweza kusema chochote kutokana na pilikapilika za kuongoza vikosi vya uokoaji na uzimaji moto
 
Kwani ni boarding school siku hizi? Ee mungu okoa shule yangu, in late 90's tukiwa na Timu kabambe ya football, with William anyosisye, Prince baina kamkuru r. I. P, mgomvi kambi, saimon ligongo, Ibrahim shem karenga, Ben ngozi, kessy, ebenezer Msuya, Ben Omar , claud John, na wengi wengineo
R. I. P mwalimu Omar, isavika, Mr ninalwo, sijui ngaiza km still alive, tondo, hokororo , nk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekupata mzee wa TMP na maktaba kama siyo Students Center na Uhazili.
 
Kwani ni boarding school siku hizi? Ee mungu okoa shule yangu, in late 90's tukiwa na Timu kabambe ya football, with William anyosisye, Prince baina kamkuru r. I. P, mgomvi kambi, saimon ligongo, Ibrahim shem karenga, Ben ngozi, kessy, ebenezer Msuya, Ben Omar , claud John, na wengi wengineo
R. I. P mwalimu Omar, isavika, Mr ninalwo, sijui ngaiza km still alive, tondo, hokororo , nk

Sent using Jamii Forums mobile app
Du! Kiongozi mwalimu omary kumbe ashafariki namkumbuka uyu mwalimu alikuwa ferarii pia wa mpira wa miguu dah apumzike kwa amani, MIHAYO enzi za kina Victor kilowoko (zai) uyu jamaa sijui yupo wapi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom