Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakuu kuna aliyewahi kuona msiba wa hawa majamaa?wana mambo yao mengi sana wanatuficha ficha,na kujitenga,wanachoweza kutugongea wake zetu ili wawapunguzie gharama za kusukwa,wanawake bana..
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Mh rais magufuli barabara ya mlima kitonga inatisha sana yani ukitoka iringa unakuwa upande wa poromoko kushoto mi huwa nalalaga kwa lazima hata kama sina usingizi tairi zinapiga break mpk...
0 Reactions
22 Replies
9K Views
Wakuu mwenye kujua wapi naweza pata adopta ya Laptop aina ya lenovo hapo dar naomba anijulishe.
0 Reactions
7 Replies
940 Views
Shirika la World Economic Forum limetoa orodha ya nchi 137 katika viwango vya ubora wa huduma za Vikosi vya Majeshi ya Polisi duniani Orodha hii imezingatia kiwango cha kuaminika na kutegemewa...
2 Reactions
72 Replies
9K Views
Inamaana Tanzania haina viwanda vya mapanga, huku ni kuua kabisa viwanda vya ndani, huu ni uhujumu uchumi; picha ni kama inavyojieleza
0 Reactions
4 Replies
958 Views
Habari zenu wakuu; Hivi lile sakata la channels za ndani (ITV, CH10,CHANNEL 5, STAR TV n.k) kutoonekana kwenye ving'amuzi limefikia wapi? Maana leo nimelipia kifurushi AZAM lakini bado ACCESS...
3 Reactions
47 Replies
8K Views
Mtoto wa Jinsia mbili ya kike na kiume amezaliwa katika Hospitali Teule ya Rubya iliyopo wilayani Muleba mkoani Kagera. Kuzaliwa kwa mtoto huyo kumethibitishwa na Mganga Mkuu wa Hospitali hiyo...
1 Reactions
21 Replies
6K Views
Mh. Magufuli tunakuomba uwaone mabinti wote wa kitanzania kama ulivyokuwa unamuona dada yako, mabinti wetu hawa hawana tofauti na Marehemu dada yako, sisi watanzania wenzako au walipa kodi wa...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
TANZIA: Askofu Mstaafu wa Jimbo Katoliki la Bukoba, Mhashamu Nestory Timanywa amefariki dunia leo asubuhi. Pole nyingi kwa Askofu wa sasa wa Jimbo la Bukoba, Desiderius Rwoma, waumini wa jimbo...
5 Reactions
48 Replies
11K Views
Tunasikitika kwa mama yetu mpendwa kututoka leo asubuhi saa mbili mjini Dodoma mazishi yatafanyika salasala tarehe 25 /1/2018
4 Reactions
85 Replies
18K Views
Mkuu wa Wilaya ya Misenyi Mkoani Kagera Kanali Denisi Mwilla amekamata tani saba za kahawa zikisafirishwa kwa njia ya magendo kwenda nchini Uganda. Mwilla amesema kahawa hiyo imekamatwa usiku wa...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Habari gani wangugu? Mimi ni kijana ambae nimehitimu shahada hivi punde, miongoni mwa vitu ninavyopenda saana ni kusafiri na kuishi mashariki ya mbali kabisa tofauti na nyumbani nikakutane na...
3 Reactions
159 Replies
14K Views
Utafiti wa muonekano wa furaha wa mbuzi umefanyika Uingereza Wanasayansi wamebaini kwamba mbuzi wanavutiwa na binaadamu wanaotabasamu. Utafiti huo...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Mwita Waitara Kwa ufupi Ni kutokana na madai ya kuhamasisha vurugu kupitia mitandao ya kijamii. By Hussein Issa, Mwananchi. hissa@mwananchi.co.tz Dar es Salaam. Chama cha Demokrasia Maendeleo...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu hatafanyiwa upasuaji mwingine na ataendelea kubaki na risasi moja kwenye uti wa mgongo. Hayo yameelezwa leo Agosti 29 na kaka yake Lissu, Wakili Alute...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Imeelezwa kuwa Bandari ya Mtwara itapokea mafuta tani za ujazo 8000 (lita milioni 9.6) ifikapo mwezi Septemba mwaka huu ikiwa ni mara ya Pili kupokea shehena hiyo ya mafuta kutoka yaliposhushwa...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Siku hizi imekuwa kama fashion kila muuza madafu bila kuwa na ndimu biashara kwake inamwia ngumu maana kila anaetaka dafu utasikia akimuuliza muuzaji ndimu ipo.? Sasa nashindwa kujua hivi maji ya...
0 Reactions
10 Replies
10K Views
Nilikaribishwa na rafiki yangu kwenye sherehe ya miaka10 ya ndoa. Mwandazi hakujua km situmii na mwenyeji wangu alitoka Kwa vile ilkuwa usiku nikala. NB.Najihisi kichefuchefu kula haram.
3 Reactions
151 Replies
13K Views
*KIBURI* ni kati ya dhambi ngumu sana kujigundua kama unayo au la. Na kwa sababu ya ugumu wa kujigundua, ndio maana imemaliza watu wengi na hata watumishi wazuri wa Mungu... *Naweka hapa mambo...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Naombeni ukweli kutoka kwenu. Leo wanafunzi wameambiwa kwenda na chakula shuleni ili wakapewe dawa za minyoo na kichocho. Katika mijadala mingi Jana, watu wengi hawtaki watoto wao wapatiwe dawa...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Back
Top Bottom