MAMLAKA / VYAMA ... CHANZO CHA KUDOLOLA KWA MAENDELEO

MAMLAKA / VYAMA ... CHANZO CHA KUDOLOLA KWA MAENDELEO

Tutor B

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2011
Posts
9,025
Reaction score
6,618
Najua wengi mnafahamu kwamba hapa nchini kuna mamlaka nyingi tu.
Katika kufuatilia kwangu; ni kwamba mamlaka ndo zinazorotesha maendeleo kwenye sehemu / nyanja zinazohusu mamlaka hiyo.
Nianze na mamlaka ya maji.
Mtu yeyote akitaka kusambaza maji kwa wananchi eti - Mamlaka impe ruhusa
Mtu akitaka kuuza nishati ya umeme kwa wananchi - Mamlaka impe kibali
Mtu akitaka kufanya biashara ya kununua na kusindika zao fulani - mamlaka / chama husika kimpe kibari.
Na kwa mtindo huu mamlaka zote zinakuwa na kigugumizi kutoa vibari pale zinapogundua kuwa mtoa huduma hiyo anaweza kuiua mamlaka.
Watanzania tuwe makini na mamlaka / taasisi zinazohodhi huduma mbalimbali kwa nchi yetu
 
Hayo ndo madhara ya siasa za ujamaa "central command economy" kila jambo serikali iweke mkono, duh mpaka hiki kizazi ilicho inshi na kusoma enzi za Nyerere kiishe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo ndo madhara ya siasa za ujamaa "central command economy" kila jambo serikali iweke mkono, duh mpaka hiki kizazi ilicho inshi na kusoma enzi za Nyerere kiishe

Sent using Jamii Forums mobile app
Niendelee kutoa mfano:
Ukitaka kununua kahawa na kukoboa kwa ajli ya kusindika kwa ajili ya matumizi unakutana na KCU eti wakuruhusu! Hivi hawa KCU waniruhusu mimi kwani wao ndo wananipa mtaji? Hapo ndo mdololo wa biashara ya kahawa unapoanzia.

Kuna mtu ana uwezo wa kupata maji lita kadhaa na kuzisambaza kwa majirani zake mtaani ... eti idara ya maji inaingilia kati.

Mobisol wanasambaza nishati ya umeme kwa mkopo - eti kuna sehemu hawajapewa vibari kufanya kazi ..

Mamlaka zinarudisha nyuma kasi ya maendeleo.
 
Back
Top Bottom