Kuna ziara zinafanywa na maofisa wa cwt kwenye matawi yao yaani mashuleni. Agenda yao kuu ni kutafuta maoni ya wanachama katika kuiwekea kiraka kama siyo viraka katiba yao baada ya walimu kujiunga ma chama kipya cha chakamwata! Katika moja ya changamoto ni hii wanayoinadi juu ya walimu wote wasio wanachama kukatwa ada ya agency fee ambayo inalingana na ada ya mwanachama (membership fee) ya 2%.
Hoja hapa ni kuwa, hivi ni halali kwa agency fee kulingana na membership fee? Kama ndiyo, huyu mwanachama anailipaje agency fee?
Changamoto hii imewakera walimu na kiukweli inahitaji marekebisho ili agency fee iwe na kiwango kidogo kuliko membership fee kwani siyo lazima mwalimu awe mwanachama wa cwt!
Walimu hawahitaji vitisho bali ushawishi wa kuwabakisha kwenye chama ambacho hakijawahi kuwasaidia kutatua changamoto zao.