Serikali yatangaza kurudisha vituo vya Tv vya ndani kwenye ving'amuzi

Johnny Sack

JF-Expert Member
Jan 21, 2017
8,779
18,745
Serikali imetangaza kuvirudisha vituo vya TV za ndani kwenye vin'amuzi baada ya kuondolewa kwa muda mrefu kutokana na matatizo ya kimkataba

Vituo hivyo jumla yake ni 34 na vitaonekana kwenye visimbusi 4 vya Zuku, Continental, Ting na Star Times kufikia tarehe 5 Septemba mwaka huu

Kwa kuwa Azam TV pekee ndio ambayo Taarifa ya Habari yake uangalia na haijatajwa hapo nitaendelea na king'amuzi hiki na kama hawataruhusiwa nitaendelea kutumia app yao kwenye Tablets yangu kuangalia taarifa yao ya habari hizo zingine hazina msaada na mimi isipokuwa wao.
 
Dhumuni ni zuri ila utekelezaji wake umekua wakibabe sana,azama,dstv ni kwanini serikali wasikae na hivyo ving'amuzi wazungumze pamoja kutatua mkanganyiko uliobaki kwa watanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kuwa Azam TV pekee ndio ambayo Taarifa ya Habari yake uangalia na haijatajwa hapo nitaendelea na king'amuzi hiki na kama hawataruhusiwa nitaendelea kutumia app yao kwenye Tablets yangu kuangalia taarifa yao ya habari hizo zingine hazina msaada na mimi isipokuwa wao.
Hivi kweli AZAM hata kama kuna issue ya kimkataba ameshindwa kweli kufanya needed amendments au serikali imempiga pini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TCRA WAFANYE MPANGO ILI ZIRUDI NA KWENYE VING, AMUZI PENDWA KAMA DSTV NA AZAM SABABU WENGINE NDIO TULINUNUA HIVYO SASA KAMA HIVYO HAVINA LOCAL CHANEL HAWAONI ITATUGHARIMU BAADHI YA WANANCHI KUINGIA GHARAMA YA KUNUNUA VINGINE? NA BAHATI MBAYA BAADHI YA MIKOA STAR TIME HAIONESHI CHANEL ZOTE MFANO CLOUDS TV WATU WA MOSHI HATUIONI KUPITIA STAR TIME.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom