Wizara wa Mambo ya Ndani ya nchi imekemea kushamiri kwa matukio ya watu kujichukulia sheria mkononi ikiwemo kupiga, kujeruhi na kuuawa.
Waziri Lugola amesema hayo jana Jumapili Septemba 2, 2018...
Alex Kokcharov @AlexKokcharov
At a military parade in #Donetsk, #Ukraine, #DPR separatists presented what purported to be "new domestically manufactured weapons". On closer inspection these...
Habari za jioni Wakali wa hizi kazi
Nimekuwa na mahusiano ya kirafiki na hatimae mapenzi na binti mmoja wa Zimbabwe.
Nilijuana nae kupitia mitandao ya kijamii kama rafiki wa kawaida. Lakini siku...
Wenye Imani zenu na mnaojua vizuri Maandiko Matakatifu tunaomba msaada wenu tafadhali katika hili ili Sisi wenye dhambi 'tukuka ' tuanze kupiga ' jaramba / kujiandaa ' kuwahi Siti zetu tayari...
Makampuni ya minada ni biashara kama zilivyo biashara nyingine..... Ili iweze kuitwa biashara ni lazima kuwe na pande mbili muuzaji na mnunuzi kisha ni lazima kuwe na faida! Hasara ni bahati...
Waziri wa mifugo na Uvuvi Mhe.Luhaga Mpina ameagiza Mkandarasi aliyejenga daraja katika kijiji cha Nyanza kata ya Mwakisandu wilaya ya Meatu mkoani Simiyu kukamatwa na kushtakiwa kwa tuhuma za...
Nimatumaini yangu kwamba hamjambo?
Umekuwa ni mtazamo uliozoeleka kwenye jamii zetu kwamba walimu ni watu wenye maisha duni sana, lengo la uzi huu ni tufahamishane walimu tunakosea wapi...
Mimi ni Kijana wa kiume Umri Miaka 21. Nachukua sheria nikitarajia kuingia mwaka wangu wa pili katika Chuo kikuu Dodoma. Kwa sasa nipo mlandizi mkoa wa pwani nikifanya field itakayoisha Trh 15...
Wakuu salama? Wiki hii nataka kwenda kigoma.naomba anaejua bei ya tiket ya ndege. Dar mpaka kigoma. Anijulishe tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app
Za saa hii,..nna experience ya hal ya juu kwenye mahusiano,nahis nmepitia type zote za mahusiano kat ya me na ke
as in
1.nisha date na golddiggers
2.singo mazas
3.college mates
4.watoto sekondari...
Hii inshu ya makonitena 20 ya Paul Makonda yaliyopo bandarini binafsi namshauri tu kuwa kwa kauli ile ya rais Magufuli inabidi ajitafakari mara tatu na achukue uamzi sahihi.
Kwasababu kwa mwenendo...
Namiliki line ya airtel toka ikiitwa Celtel ikaja Zain na kwa sasa airtel.
Lilipokuja zoezi la kusajili nilisajili Ila baada ya muda niliambiwa laini yangu haijasaliwa, nikaamua kufanya usajili...
Polisi mkoani Songwe inamshikilia Jelicko msukuma kwa tuhuma za kukutwa na silaha aina ya Airgun,risasi 135,jeneza dogo, pasi iliyotengenezwa ujerumani,vitambulisho vya Tanzania na Zambia pamoja...
Wakuu amani iwe nanyi,
Napenda kuwauliza watalamu wa pikipiki wanieleze toleo lipi litanifaa kwa matumizi ya kwendea kazini kila siku na inapobidi inatumika kama bodaboda.
Nataka kufahamu...
Serikali imeunganisha mifuko mbalimbali ya jamii na kuwa na mifuko mikubwa miwili yaani PSSSF na NSSF.Kwa kuwa hii mifuko imetengenezewa sheria na kanuni mpya ni vema ikatoa Vipeperushi na...
Kiwanda cha kuzalisha sementi cha Dangote kimemaliza mchakato Wa kusimika vinu vya kufua Umeme Kwa kutumia Gesi.
Ikumbukwe kiwanda hicho kilikuwa kinatumia maelfu ya Lita za dizeli kutoka nje ya...
Watalaam wa afya nisaidieni hivi Ni kwanini Kama sigara Ina madhara na mnasema inasababisha saratani kwa Nini Sasa sio wote wanaopata hayo madhara.mfano Babu zangu wanavuta Sana sigara toka...
Havarti, wakuu Nimehamishiwa kituo kipya cha kazi iringa mjini,nina wiki tatu sasa na Niko kwenye zoezi la kutafuta fursa za kuongeza pato la ziada,wenyeji Naomba mbinu za kutoboa.
Sent using...
Mwalim: We Bwenga mbona upo nje wakati wa vipind?
Bwenga: fanya yako fala wew, maisha yangu hayakuhusu
Mwlim: [emoji15] [emoji33]whaat!!!
Bwenga: Ujasikia au[emoji1610]chukua time sir [ huku...
Mimi ni mmoja kati ya vijana tunaopenda maendeleo ya sayansi na teknolojia katika nyanja ya kujiajiri.
Nimeshuhudia kwa hivi karibuni wakijitokeza wajasiria mali wengi wakitoa elimu ya kufuma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.