Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

baadhi ya magari yaliyokuwa katika msafara wa rais Kikwete leo yakielekea uwanja wa ndege Nduli Magari yaliyopotea kwenda Ikulu yakiwa uwanja wa Ndege Nduli WIKI ya maji yamalizika kwa...
1 Reactions
11 Replies
6K Views
Tembea uone,Kiukweli inasikitisha sana,km umetembea mikoa ya Lindi,mtwara,dsm,arusha,kilimanjaro,hivyo nilivyotaja ni sehemu ya maisha yao... Wenyeji wa pwani hasa wanaume haipiti siku bila kutoa...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
CHEKESHAJI maarufu Bongo, Steve Nyerere amesema ingawa watu wamekuwa wakimkashifu kwa roho yake ya kujitolea na kusimamia misiba ya mastaa mbalimbali, lakini hatakoma kusimamia kwani ni kitu...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Huu ni wizi mpya wa kutumia teknolojia ambao umeingia mjini kwa kitaalamu sisi wataalamu wa kuchokonoa simu tunauita “Swim Swap Fraud” na kuna baadhi ya watu tayari wameshalizwa. Jinsi...
7 Reactions
29 Replies
9K Views
habari wandugu huwa najiuliza kila nisikiapo kuwa tunapopewa taarifa kwamba nchi imepata mkopo a.k.a msaada lakini nchi inapolipa hiyo mikopo hatupewi taarifa je hatuna haki ya kujua inavyolipwa ?
1 Reactions
5 Replies
908 Views
Huyu jamaa alitutawala akatunyonya na kutumaskinisha kwa viwango vya juu. Hajawahi kutulipa fidia tumekubali yaishe. Sasa cha ajabu hadi Sasa Bado anatufuatilia tu. Anakwamisha miradi yetu...
4 Reactions
31 Replies
2K Views
Nimeshangazwa na kitendo kilichooneshwa na viongozi na wasanii wa nchi yetu tangu Mh. Sugu ameanza kumuuguza mama yake mzazi hospitali ya Muhimbili. Mama mzazi wa Mh. Sugu amelazwa hospitali...
17 Reactions
76 Replies
9K Views
Ndugu wanajamvi tupeane machache unapokuwa na silaha ya moto ili kuwa salama wewe na wanaokuzunguka bila kuwa na matatizo. 1: Amini muda wote kwamba inaweza kulipuka hata kama umetoa risasi zote...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Kwa kipindi kirefu hua najiulizaga bila kupata jibu sahihi ya namna ambavyo usomwagi wa taarifa za habari kwenye tv..hua zinarekudiwa kwanza na kueditwa kabla hatujarushiwa sisi watazamaji au...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Umewahi kuwaza kumfuga mbuzi awe mlinzi wako? Kama ambavyo wengine hufuga mbwa ama wakati mwingine paka? Mzee Antony Mwandulami mkaazi wa Mkoa wa Njombe Nyanda za Juu Kusini mwa Tanzania...
2 Reactions
61 Replies
15K Views
Wadau baada ya kutokea matokeo mengi ya unyanyasaji wa watoto,nimeona bora nimeke uzi wa kufindishana vipi kulea watoto wetu,majuzi mwanafunzi amepigwa na mwalimu mpaka kufa huko Bukoba,kauli ya...
0 Reactions
0 Replies
973 Views
KAma wewe ni mvuvi ushawahi kukutana na mauzauza ya baharini tupia hapa tujumuike sote kutizama kuna mambo gani huko. Kuna kisa tulikuwa tunasimuliana sana utoto kilitokea maeneo ya fukwe za...
2 Reactions
24 Replies
7K Views
Salama wakuu! Naomba ufafanuzi kidogo juu ya product hizi mbili (body lotion) 1. NIVEA FOR MEN 2. NIVEA MEN Kwa Tanzania maduka mengi huuza na wengi hutumia sana namba moja kwa uzoefu na...
0 Reactions
70 Replies
17K Views
Jeshi la Polisi Mkoani Songwe, linamshikilia mtu mmoja ambaye amekuwa akijihusisha na matukio mbalimbali ikiwemo, ujambazi, utapeli kwa kutumia nembo za freemason, akiwa na silaha aina ya Air Gun...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Sijui kwanini serikali haijalibaini hili, chanzo cha ajali hiyo iliopoteza watu watano wakiwamo watalii wanne ni Gari kubwa aina ya scania kufeli breki. Kiuzoefu haya magari yameleta maafa mengi...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Rais wa China alipatia bara la Afrika mabilioni ya dola; asema zisitumike katika miradi ya kifisadi Rais Xi Jinping wa China jana Jumatatu aliipatia Afrika kitita kingine cha dola bilioni 60 na...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwanza Kabisa nitoe pole kwa mbunge wa Mbeya Mjini Mheshimiwa Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu Kufiwa kuna uchungu sana hasa kwa mzazi Hasa Mama. Leo Mbunge/Msanii Sugu mama yake ameagwa jijini...
7 Reactions
192 Replies
30K Views
Nikiwa mtanzania mpenda watanzania Wanajitekenya nawapa mafundi na mainjinia wazo la bure la kutajirika.Mkitajirika mkinikumbuka sawa msiponikumbuka sawa.Wazo hilo liko hivi gesi ya kupikia...
7 Reactions
47 Replies
5K Views
Wazazi anzeni au tuanze Kujiandaa Kisaikolojia kwani nina uhakika matokeo ya Wanafunzi wa Shule za Msingi na Upili kwa mwaka huu na huenda hata kwa miaka kadhaa ijayo yatakuwa ni mabaya na...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Wahudumu wa Club Masai, mjini Kahama. Mkuu wa Wilaya ya Kahama, Anamringi Tesha, akiongea kwenye warsha ya Kituo cha Kutetea Haki za Binadamu (LHRC), Mjini Kahama, amepiga marufuku matangazo...
3 Reactions
33 Replies
8K Views
Back
Top Bottom