PSSSF itoe vipeperushi na vijarida kuelimisha wadau wake

mpimamstaafu

JF-Expert Member
Jul 18, 2018
4,445
4,704
Serikali imeunganisha mifuko mbalimbali ya jamii na kuwa na mifuko mikubwa miwili yaani PSSSF na NSSF.Kwa kuwa hii mifuko imetengenezewa sheria na kanuni mpya ni vema ikatoa Vipeperushi na Vijarida vikielezea shughuli na mambo yote yatakayofanywa na mifuko hiyo ili Wanachama wake wawe na uelewa mkubwa badala ya kuwataka wanachama wafungue Website na kujisomea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom