Wataalam wa DIPLOMASIA Nahitaji msaada wenu.

Wataalam wa DIPLOMASIA Nahitaji msaada wenu.

Hazchem plate

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2011
Posts
11,059
Reaction score
15,534
Habari za jioni Wakali wa hizi kazi
Nimekuwa na mahusiano ya kirafiki na hatimae mapenzi na binti mmoja wa Zimbabwe.
Nilijuana nae kupitia mitandao ya kijamii kama rafiki wa kawaida. Lakini siku zinavyozidi kuenda ukaribu wetu umeongezeka sana kiasi cha kuwa Na mapenzi ya hali ya juu sana ilihali atufahamiani kwa Sura zaidi ya kuwasiliana kwa Wutsup video calls.

Ni zadi ya Miaka miwili na miezi 6 sasa tupo kwenye mahusino. Na imefika kipindi sasa inabidi tuonane tu maana hakuna namna.

Ninaomba kujua mahusiano ya Kidiplomasia ya Tanzania na zimbabwe maana binti wa watu anataka kuja Tz baada ya kufanya mahafali yake ya Shahada ya Kwanza ivyo nataka kujua kuhusu permit ya kushi Tanzania kwa miezi isiyopungua mitatu.

Najua nchi za ulaya zina vitu kama Invitation letter ambayo mtu akikutumia inaweza kuwa rahisi kupata kibali cha kwenda ughaibuni. Sasa sijui kama huu utaràtibu unatumika kwa weusi halafu masikini kama sisi.

Nakaribisha michango yenu

Sent using Jamii Forums Nintendo app
 
Nakukumbusha tu Unawakilisha Taifa kwenye hilo usije ukatuangusha Wanaume wa Tz tukaonekana hovyo,

Mwisho kabisa napenda kukukumbusha Ukimwi bado upo, Co#dom moja B@o moja.[emoji1317]

Nakutakia kila heri kwenye mpambano huo wa kirafiki.
co#dom moja b@o moja, kwaiyo kama mjamaa ni lijali atahitaji ndomu kama nne hivi!
 
This is Jf,yaani badala ya ushauri wa kidiplomasia tumehamia kwenye ushauri wa ngono.
 
Nakukumbusha tu Unawakilisha Taifa kwenye hilo usije ukatuangusha Wanaume wa Tz tukaonekana hovyo,

Mwisho kabisa napenda kukukumbusha Ukimwi bado upo, Co#dom moja B@o moja.[emoji1317]

Nakutakia kila heri kwenye mpambano huo wa kirafiki.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Sawa boss wangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aje tu, akifika pale airport andika purpose of ya yeye Kuja ni visiting.
Wampe Ile 90 days visa THEN kama utataka akae zaidi basi utaenda immigration kumtafutia permit.. Sasa inategemea kama unataka permit ya kazi, AU permit zingine..
Lakin siku 90 zikiisha kama Hana permit basi atarudi tu Zim.
Kumbuka huwezi zizidisha maana akiingia airport pale watamgongea muhuri wa tarehe husika na akitoka watamgongea so wakiangalia tarehe ya kuingia na kutoka (exit) kama imezidi 90 days shida itaanzia hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu inamaana tumeshindwa kupenda vitu vyetu mpaka mbunye tunaagiza toka nje by the way nakutakia ushindi kwenye hilo hakikisha unapeperusha bendera ya nchi vzr
 
boss nimekuelewa vizuri. so unamaanisha hakuna kitu ninachotakiwa kufanya zaidi ya yeye kuja bongo na visiting VISA ataipata hapo hapo airport siku akija>?/
 
Mkuu inamaana tumeshindwa kupenda vitu vyetu mpaka mbunye tunaagiza toka nje by the way nakutakia ushindi kwenye hilo hakikisha unapeperusha bendera ya nchi vzr
Hamna shida boss. sikuzote tunasema UTAIFA KWANZA. kwa hiyo naahidi kupeperusha bendera ya nchi yetu vyema
 
Usije tu ukatuangusha kama huyu jamaa.
IMG-20180903-WA0016.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom