buchilo
Member
- Jul 30, 2018
- 82
- 69
Wakuu salama? Wiki hii nataka kwenda kigoma.naomba anaejua bei ya tiket ya ndege. Dar mpaka kigoma. Anijulishe tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
ukifahamu bei ya kwenda Sumbawanga basi utajua ya Kigoma ,hlf kwa nn uende mbali hivyo kwa nn usiende TANGA ,ila ingia kwenye website ya Airtanzania au precision air hope wameweka bei mkuuWakuu salama? Wiki hii nataka kwenda kigoma.naomba anaejua bei ya tiket ya ndege. Dar mpaka kigoma. Anijulishe tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app
Mh mkuu unamaanisha anachokifata kigoma natanga kipo duh!!ukifahamu bei ya kwenda Sumbawanga basi utajua ya Kigoma ,hlf kwa nn uende mbali hivyo kwa nn usiende TANGA ,ila ingia kwenye website ya Airtanzania au precision air hope wameweka bei mkuu