Makonitena

Makonitena

lugoda12

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
319
Reaction score
648
Hii inshu ya makonitena 20 ya Paul Makonda yaliyopo bandarini binafsi namshauri tu kuwa kwa kauli ile ya rais Magufuli inabidi ajitafakari mara tatu na achukue uamzi sahihi.
Kwasababu kwa mwenendo unavoenda sioni rais kama anaweza kumtumbua...hii ni ngumu saana, otherwise ni bora mara kumi hata angekuwa waziri mkuu angeliweza kutumbuliwa ila sio Makonda.
Nafikiri sasa hivi watanzania wanasubiri tu kuona nini labda kitatokea...japo tunafahamu kunastofaham juu ya hatma hiyo.
Hata kuibuka kwa mwanasiasa mashuhuli kama Pro. Mark Mwandosia kumeibua mijadala mingi kwa kauli yake aliyo sema, ingawa mwenyewe (Mwandosia) kasema hamuongelei Makonda!!!


#TeamJamiiForums

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu nilidhani vitu vimeshanunuliwa, unauza makondena empte.
kidogo nikwambie yana laana hayo.
 
Back
Top Bottom