Habari mabibi na mabwana
Aisee kwenye maisha kuna mambo mengine tunakutana nayo, mengine yanasahaulika mengine hayasahauliki kirahisi.
Katika mizunguko ya hapa na pale, nimewahi kukutana na...
MEYA wa Jiji la Dar es Salam, Isaya Mwita amesema anafikiria kama inawezekana kuweka sheria ndogo zenye kuwabana wakazi wa jiji hilo ili kuacha mazingira katika hali ya usafi na watakaokamatwa...
Hivi karibuni na hasa juma hili kumekuwa na taarifa za matukio mengi ya walimu kuwaadhibu wanafunzi kwa viboko kiasi cha kupelekea vifo, maumivu makali, majeraha na hata ulemavu. Adhabu hizi...
4HM7SRKH Imethibitishwa. Umepokea Tsh485,000.00 kutoka 255752623855 - LIVING LEKULE mnamo 5/5/18 saa12:16 PM Baki yako ya M-Pesa ni Tsh1,035,320.00.
Huu ni wizi mpya...wanakupigia wanakuambia...
Apply - DLIIC
Themes
In this Challenge Window, DLIIC is partnering with the World Food Programme (WFP), the world’s leading humanitarian agency fighting hunger and malnutrition around the world...
Mzuqa,
Siku hizi humuoni Ritz wa JF humu kisa siku hizi wamebanwa.
Eti kasusia hadi JF.
Binadamu so selfish. Ten years magenge ya mafisadi yanaingiza vitu nchin bila kulipa kodi its...
Kile kitendo ni cha kiovu sana na cha udhalilishaji, naamini ndugu aliepigwa hakiwezi kumtoka akilini mwake kamwe, ukizingatia ana familia na jamii inayomzunguka, video ipo na inaonyesha...
Mnapotoa taarifa ya ikulu kwa maandishi hakuna ulazima wa kuandika mahali/ mkoa mlipo kwa wakati huo. Mfano mnapotoa taarifa mkiwa dodoma, kule chini mwa barua mnaandika neno Dodoma, mkiwa Chato...
Wizara husika,hebu jaribu kuboresha hiki kituo cha Taifa, Muonekano wa picha ni hafifu sana,picha mbaya.
Watangazaji hawavai vizuri,sio kwamba hawavai nguo za gharama,mpangilio wa mavazi...
Mwanzoni walisema bomba la mafuta litaajiri watu kibao tukaaply tena nakumbuka pale posta karibu na cbe tulifurika kwelikwwli baada ya tangazo kutoka tu. Lakini tulipoteza muda mpaka leo wamepiga...
Mkandarasi hayuko site amechimba sehemu za kuweka culverts bila kukamilisha huku akiacha njia mbadala zisizo na kiwango zinazopelekea uharibifu wa vyombo vya moto na foleni zisizo za lazima. Na...
nafasi hizi za kuteuliwa anaeteua ni kama refa wa mpira wa miguu wanaoteliwa ni kama wachezaji pindi anaeteuliwa akitenda faulo kuna matatu kupewa kadi ya njano au kadi nyekundu inategemea na refa...
Ninawapongeza hivi karibuni kuwaona wale waliokuwa wanatuma SMS za kushawishi wananchi watume Pesa kwa njia za simu kitapeli.
Lakini kuna hili kundi la pili la jamaa wanajifanya waganga...
Angalia mwanae yuko pekupeku, yeye kavaa theatre boats na green clothes.
Ushamba mwingine huu....
Hebu wataalamu wetu zingatieni yale mafunzo mnayopewa ya IPC ( Infection Prevention and Control)...
Kama kuna Wanafunzi ambao tulipigwa sana ' mboko ' na kupata kila aina ya ' adhabu ' tena zile Kali kutoka kwa Walimu wetu wa Shule za Msingi ( Primary ) na Upili ( Secondary ) basi ni Sisi...
Habar za jioni wanajamvi ?
Naomba nieleweshwe katika haya mawili
1. Kati ya dereva na trafiki yupi chanzo cha rushwa ?
2. Kwanini madereva wengi wakisimamishwa na trafiki,hata kama upo...
Kuna lorry limezuia njia hapa tegeta iptl njia ya kuelekea mjini (Mwenge).
Trafiki aliye karibu afike eneo hilo kwa msaada jam ishaanza kuwa kubwa na madereva wanapita upande wa pili na kushare...
Kwa mtazamo wangu, haya ndio maeneo mazuri ya kuishi Hapa Tanzania. Gharama za maisha ziko Chini na hali ya hewa ni nzuri pia mzunguko wa pesa upo.
1. Mbeya
2. Arusha
3. Tarime
4. Mwanza
5. Moshi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.