KAZI ZA KUJITOLEA KATIKA JAMII (voluntary opportunities needed)

KAZI ZA KUJITOLEA KATIKA JAMII (voluntary opportunities needed)

Maddox madox

New Member
Joined
Jun 4, 2018
Posts
2
Reaction score
1
Mimi ni Kijana wa kiume Umri Miaka 21. Nachukua sheria nikitarajia kuingia mwaka wangu wa pili katika Chuo kikuu Dodoma. Kwa sasa nipo mlandizi mkoa wa pwani nikifanya field itakayoisha Trh 15 mwezi huu

Natafuta mahali ambapo nitajitolea kufanya kazi za kijamii mpaka mwishoni mwa mwezi wa 10 kabla sijarudi chuo. Nipo tayari kujifunza na kukabiliana na changamoto mbalimbali

Kwa Dodoma ntakuwa huru kufanya kazi za kijamii kuanzia November ila siku za weekend tu Kama Sitokuwa naratiba ngumu za masomo.

Kwa anayefahamu taasisi yeyote yenye uhitaji wa Kijana mwenye kujitolea kufanya kazi kwa ajili ya jamii aidha za kimaendelea au kimsaada naomba aniunganishe.
Asante

Email: Madoweka96@gmail.com
0658579497

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom