MLUGURU
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 3,040
- 3,971
Kiwanda cha kuzalisha sementi cha Dangote kimemaliza mchakato Wa kusimika vinu vya kufua Umeme Kwa kutumia Gesi.
Ikumbukwe kiwanda hicho kilikuwa kinatumia maelfu ya Lita za dizeli kutoka nje ya nchi kuzalisha Umeme sasa kiwanda kitatumia Gesi ya hapa hapa nchini kuzalisha Umeme badala ya mafuta hayo ya dizeli.
Sent using Jamii Forums mobile app