Polisi wanadaiwa kumpiga kwa risasi na kumuua, mtu aliyekuwa kwenye gari aina ya canter, baada ya dereva wa gari hilo kukaidi amri ya kusimama.
Katika tukio hilo lililotokea jana mchana, eneo la...
Mufti wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubairy Bin Ally, leo Agosti 31, 2018 amemtembelea na kumuombea dua maalumu Waziri wa Utalii na Maliasili Dr. Hamisi Kigwangalla ambaye anapata matibabu katika...
Habarini wadau, kila nchi ina vitu vizuri na vibaya vyake ila sio mbaya mtu kufata na kuiga mfano wa vile vitu vizuri.
Kwa mfano hii sheria ya korea kusini inayotaka raia wake wote kabla ya...
23rd September 14
Dr Mengi wins two prestigious Awards
IPP Executive Chairman Dr Reginald Mengi has won two top awards at the CNBC Africa ‘All Africa Business Leaders Awards' (AABLA) for...
Wakati umefunga gari yako, wanaweka sarafu katika lock ya mlango wa abiria.
Utakapoondoa gari yako hakuna kitakachotokea ila utakaposimama na kutoka nje ya gari lako ukilock,system ya lock ya gari...
Watu 5 wanahofiwa kufariki dunia na wengine kujeruhiwa baada ya gari la utalii kugongana na lori eneo la Mti mmoja, Arusha.
=====
Watu sita wamefariki dunia wakiwamo watalii wanne na wengine...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa, Juma Bwire amekiri kupata taarifa za awali za tukio la kuuawa na Polisi kwa abiria aliyekuwa katika Gari lililokaidi Amri ya Polisi ya kusimama. Kamanda Bwire...
vipimo vya tumbo - JamiiForums
Wadau wa jf Dr Niko Arusha nahitaji kufanya vipimo vya tumbo nauliza hospital ya Mount meru iko vizuri kwa vipimo hivyo?
Sent using Jamii Forum......
Sent using...
Wale WoteWalisosoma Shule ya Msingi Katoro Iliyopo Geita Tukutane hapa.Lengo nI kufahamiana na pia Kuishukuru Shule na Walimu kwa Kusaidia baadhi ya Maeneo (Kuwa Socially Responsible)
Habari mh Rais John Pombe Magufuli
Kiukweli sikukupigia kura yangu katika uchaguzi uliopita mwaka 2015 na sababu ya kutokupigia kura nilikuwa siipendi ccm kwa kuirudisha nchi nyuma,, japo...
Wadau eehh bila shaka mko poa,
Kama una ushauri naombeni tu mnishauri tu kijana mwenzenu,toka mwaka jana nimekuwa nikijichanga changa nipate mkwanja kidogo niende mamtoni (marekani),siendi kufanya...
Habari wanajukwaa!
Nijikite kwe Mada tajwa moja kwa moja.
Najua TBS ipo kulinda maslahi ya nchi hususani katika bidhaa za ndani na za nje zinazo ingia Tanzania.
Kila nchi najua ina Specifications...
Watu wote tunakumbuka enzi za shule ya msingi,tulifurahia mapumziko ya mwishoni mwa juma kwa kucheza michezo mbalimbali iweje international school wasipumzike kama wenzao wa shule za serikali...
Wakati shule zote zikiwa zinatakiwa kubuni adhabu zisizodhuru wanafunzi hata kusababisha maumivu na madhara mengine kwenye mwili wa mwanafunzi ,walimu wawili katika shule ya msingi Mchanganyiko...
Kuna tofauti kati ya kupambana na ufisadi na kupambana na mafisadi.
Ukipambana na ufisadi, utaagusa mfumo wa sheria, na ikibidi kubadili au kurekebisha katiba. Sheria zitakapokuwa imara, na...
Kitu ambacho hakinivutui kwnye IG account nihiz page za kibongo zenye mambo negative asubuhi mchana jioni, yaani unafungua IG option wanazo wao wenye za ni nn watakuonyesha , unakutana na Umbea...
Habari wakuu,kuna kipindi hii kitu inayoitwa bitclub ilikuwa ikivuma sana humu ya kuwa ukinunua kifurushi aina flani utakuwa unapata package flan kwa mwezi.
Kuna watu walikuwa wanatamba humu...
Ananiambia nisiumie kwa mambo ya kisiasa.
Ananiambia kama wanaiba wameanza kuiba tangu lini, mbona tunaishi tu, ukilima ukipanda unapata chakula unashiba. Siasa zikianza kuiba na mvua tutakuja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.