Alejandroz
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 329
- 419
Nimatumaini yangu kwamba hamjambo?
Umekuwa ni mtazamo uliozoeleka kwenye jamii zetu kwamba walimu ni watu wenye maisha duni sana, lengo la uzi huu ni tufahamishane walimu tunakosea wapi?
Kwamtazamo wangu sababu mojawapo ni "MIKOPO"...
Waalimu wengi wamekuwa na tabia yakukopa fedha nakufanyia mambo kama kujengea nyumba, kununua gari yakutembelea n.k bila kuwekeza popote patakapo mzalishia kipato, jambo hili limekuwa likiwasababishia walimu wengi kupata mshahara mdogo sana (baada ya kukatwa madeni) kiasi cha kubaki na mshahara mdogo zaidi usio tosha kukidhi hata mahitaji mengine, pia kulazimika kuhamia kwenye nyumba ambazo hata hazijaisha.
Nakaribisha maoni yenu ili kwa pamoja (walimu na wasio walimu) tujue ni jinsi gani mtu mwenye kipato au mshahara mdogo (kama mwalimu) anaweza akawekeza hapa na pale hatimaye akajikwamua kiuchumi ili mwalimu apate mapinduzi ya mawazo na ajue kuwa anaweza kuza kipato chake kwa njia moja au nyingine kisha kubadili maisha yake.
Karibuni
Sent using Jamii Forums mobile app