Habar za jioni?
Wakazi wa mbezi ya kimara hasa mtaa wa KWA MSUGURI, hatuna umeme leo ni siku ya pili tunapiga simu zinapokelewa tunaletewe porojo!
Tunaambiwa kuna kikosi kazi kinazunguka huko...
Hbr leo asbh kila nikijaribu kutaka kupost nakutana na ujumbe, u dont have enough permission kupost au kukomment, sasa sikujua ndo ban au kosa lipi, naona jioni muda huu ndo imekubali.
Habar za jioni?
Wakazi wa mbezi ya kimara hasa mtaa wa KWA MSUGURI, hatuna umeme leo ni siku ya pili tunapiga simu zinapokelewa tunaletewe porojo!
Tunaambiwa kuna kikosi kazi kinazunguka huko...
Habar za jioni?
Wakazi wa mbezi ya kimara hasa mtaa wa KWA MSUGURI, hatuna umeme leo ni siku ya pili tunapiga simu zinapokelewa tunaletewe porojo!
Tunaambiwa kuna kikosi kazi kinazunguka huko...
Usiku wa kuamkia leo umeme wenu Tanesco umekuwa ukikatika katika na kupelekea vifaa vyetu vingi vya umeme kuungua. Nashangaa Tanesco hata hamjaomba radhi na hapa nna machungu TV yangu nimenunua...

Serikali ya Tanzania imesaini Mkataba wa Makubaliano na Benki ya Dunia kwa kupokea mkopo wa shilingi trilioni 1.8 wenye masharti nafuu ambapo deni hilo linaweza kulipwa ndani ya miaka 40, mkopo...
nimeota nakula nyama mapande ya nguvu,ila sijui hata ni nyama gani,nashtuka nakuta tumbo limejaa,i mean nimeshiba.
Ile imani ya kwamba ndoto za aina hii zinakuaga na uhalisia yaweza kuwa kweli...
Serikalini haitaki watu wanaotaka vitu vizuri vya haraka haraka.Mishahara ni midogo sana na stahiki hazilipiki kirahisi.
Tafuteni kazi kwenye private organizations kama NGOs, CBOs, Companies etc...
Maandiko yanasema kila kiumbe siku ya mwisho kitafufuliwa kujibu madhambi na matendo yaliyofanywa wakati wa uhai na hukumu kutolewa kwa kuulizwa ni jema gani alilotenda akiwa duniani kwa wataalamu...
Nimepokea taarifa kwa masikitiko makubwa sana kwamba Watu wasiojulikana wamefyeka shamba la migomba,kuchoma ( nyumba) ya Mwl mstaafu Salvatory Magiro mkazi wa kijiji cha Gwarama kitongoji cha...
Habari za muda huu wana jamvi, kuna tabia mbaya sana sana hasa katika taswira ya nchi yetu ambayo imejirudia mara nyingi inaendelea kwa wafanyakazi kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa...
Wiki hii marais kutoka Africa (Tanzania imewakilishwa na PM Kassim Majaliwa) walikutana na Rais wa China ambapo China iliahidi kutoa msaada na mikopo 'isiyo na masharti' ya jumla ya Dola bilioni...
Mswaada huu una lengo kuu la kuanzisha Board ya walimu Tanzania (Tanzania Teachers’ Professional Board) ambayo ita-deal na kusajili walimu, udhibiti wa viwango and professional conducts...
Yupi mzuri kati ya baba hawa: Baba wawili wote kila mmoja anafamila yake na kila mmoja ana ammount ya pesa laki moja ya kutumia mwezi mzima na familia yake. Sasa mmoja anaamua kutoka nje kutafuta...