Katoro Geita: Tanesco mtulipe fidia kwa hasara mlotuingiza leo

Mzinza wa town

JF-Expert Member
Mar 15, 2018
347
368
Usiku wa kuamkia leo umeme wenu Tanesco umekuwa ukikatika katika na kupelekea vifaa vyetu vingi vya umeme kuungua. Nashangaa Tanesco hata hamjaomba radhi na hapa nna machungu TV yangu nimenunua kwa gharama kubwa inaniuma. Tanesco mmezingua
 
Yaan halafu huwa hawashughuliki na hili kabisa. Watakata na kurudisha bila taarifa vifaa ya watu vinaharibika na wala hawazingatii hili
 
Back
Top Bottom