Mkurugenzi Tanesco ebu tumbua watendaji wa Kimara hawajui wanalo litenda!

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,013
8,369
Habar za jioni?

Wakazi wa mbezi ya kimara hasa mtaa wa KWA MSUGURI, hatuna umeme leo ni siku ya pili tunapiga simu zinapokelewa tunaletewe porojo!

Tunaambiwa kuna kikosi kazi kinazunguka huko kitalekebisha hakuna linalofanyika

Watendaji wa Tanesco KIMARA TAFADHALI MKURUGENZI WA TANESCO TUONEE HURUMA TAFADHALI SANAAA MAANA KAMA NI UMEME TUMENUNUA.
 
Hawa jamaaa sijui hata ufanyaji wao wa kazi unaenda vipi. Jana tangua sa kumi jioni wamekata umeme wakarudisha leo sa nane mchana.... Sasa hivi wamekata tena... Sasa sijui wanataka tuwafanyajee #*%@&#+& (tusi kubwa)
 
Kuna no yao ya tigo ukipigia wnapokea wamama pale kimara yani kumbe ndio maana hawa wamama wa siku hizi wanaishia kumegwa na kuachwa kwa kudanganywa haiwezekani kila dakika wanatunganya tu
 
Back
Top Bottom