Sijawah kutukana mkuu.Mkuu Rusha matusi mengi kwa mods,members etc utaiona ban vizuri sasa hivi
Watukane mods,members utaiyona bila chengaSijawah kutukana mkuu.
unatumia cm ganHbr leo asbh kila nikijaribu kutaka kupost nakutana na ujumbe, u dont have enough permission kupost au kukomment, sasa sikujua ndo ban au kosa lipi, naona jioni muda huu ndo imekubali.View attachment 860532
Hapana, jana nilicomment ile ya ndodi, kuwa alikuwa anatibu malaria kwa malimao. Ningekuwa na uwezo kuwauliza moderator wafafanue what happened.ulikuwa ushaswaki? pengine habari yako ilikuwa na harufu au maneno machafu kidogo
Hahaha[emoji23]ulikuwa ushaswaki? pengine habari yako ilikuwa na harufu au maneno machafu kidogo
Huyo jamaa yuko wapi ?Hapana, jana nilicomment ile ya ndodi, kuwa alikuwa anatibu malaria kwa malimao. Ningekuwa na uwezo kuwauliza moderator wafafanue what happened.
hahaaaaulikuwa ushaswaki? pengine habari yako ilikuwa na harufu au maneno machafu kidogo