Mkurugenzi Tanesco ebu tumbua watendaji wa Kimara hawajui wanalo litenda!

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,012
8,358
Habar za jioni?

Wakazi wa mbezi ya kimara hasa mtaa wa KWA MSUGURI, hatuna umeme leo ni siku ya pili tunapiga simu zinapokelewa tunaletewe porojo!

Tunaambiwa kuna kikosi kazi kinazunguka huko kitalekebisha hakuna linalofanyika

Watendaji wa Tanesco KIMARA TAFADHALI MKURUGENZI WA TANESCO TUONEE HURUMA TAFADHALI SANAAA MAANA KAMA NI UMEME TUMENUNUA.
 
Back
Top Bottom