Mganga maarufu wa kukamata mwizi

Mganga maarufu wa kukamata mwizi

geeeee

Member
Joined
Aug 2, 2018
Posts
8
Reaction score
1
Mwenye mawasiliano ya Mganga maarufu wa kienyeji wa kukamata wezi au kurudisha mali iliyopotea naomba anisaidie
 
Mwenye mawasiliano ya Mganga maarufu wa kienyeji wa kukamata wezi au kurudisha mali iliyopotea naomba anisaidie
Umeibiwa muda gani, sasa???

Ukikutana na hawa watu, unaweza unazoeaa


Maan ukianza kuona matokeo kwa jambo lolote it become very addictive....
 
Bwana Yesu apewe sifa maana yeye ni mweza wa kila jambo
 
Back
Top Bottom