Wakuu Shalom..!!!!, Kiukweli Mimi Binafsi siwezi kumpeleka Mwanangu /Wanangu Shule za Boarding kutokana na Sababu zifuatazo.
1.Mtoto anayekulia Boarding tangu miaka minne au chini ya hapo ni...
Najiulizaga kama ni sawa kwa wanaochimba mchanga sababu kwa akili yangu ndogo naona kama wanadisturb njia ya Maji kwa kusababisha mmomonyoko wa udongo pembezoni mwa MTO. Na kama ni sawa huwa...
Wakuu salaam,
jana nilibahatika kwa Mara ya kwanza kutembelea mkoa wa Kilimanjaro mitaa ya Marangu for the first time. Kwa kweli I was hugely impressed and I can only say big salute my fellow...
Kuna kitu kinaitwa UKIMWI ama Maambukizi ya Virusi vya Ukimwi…
ARV ni dawa za kufubaza virusi vya ukimwi ili visikushambulie sana..
Wanawake wengi ambao ARV zimewakubali wamenenepeana sana ...
Jamani tujiulize hawa mgambo wa Makonda wa usafi wanavyofanya ni halali? kwamfano wamekuja nyumbani kwangu wametafuta sababu ya kunitoa faini wakakosa waka wakazunguka choo cha nje uchfu wote...
Mimi nilikuwa nimeajiriwa na kampuni binafsi na kwenye hifadhi ya jamii nina takribani 1,500,000 na nilikuwa nimepanga mwezi wa kumi naacha ili nikafanye biashara zangu au kilimo cha karoti lakini...
Siku hizi imekuwa ni jambo la kawaida kukuta season inakuwa na kipande cha maigizo ya watu wa jinsi moja wakifanya matendo yanayoashiria kuwa ni ngono ya jinsi moja,mara nyingi waigizaji wengi...
Habarini wana jf.Leo katika pitapita zangu nikiwa maeneo ya Rujewa,Mbarali nimekutana na msanii kantala wa sinema ya Odama.
Tumeongea mengi,lkn kubwa la msingi alkua akisema ,msaada hawana...
Serikali inatarajia kujenga daraja jipya katika Mto Wami litakalokuwa na urefu wa mita 513.5 na upana wa mita 11.85 na litajengwa mita 670 mashariki kutoka lilipo daraja la sasa. Daraja hilo...
Kwanza nipongeze hili wazo la kuanza kusherehekea urithi(utamaduni) wetu kila mwaka ambapo kwa mwaka huu litaanzia Dodoma kesho tarehe 15/09/2018. Kuna tatizo naliona hapa hasa kwenye jina la...
Habarini za usiku, naamini humu ndani kuna wafanyazi wa wizara ya ujenzi na uchukuzi/ Tanroad
Kupitia ujumbe huu na forum naombeni mtutazame kwa jicho la huruma sisi wakazi wa mbezi mpiji Magohe...
Mnamo siku ya ijumaa tar 7/9/2018 nilibet kwa premier bet online nikaweka dau la 3000/= kesho yake nikakuta nimeshinda 20,640/= nikawajulisha hawajanijibu mpaka leo na pesa hawajanitumia. Taratibu...
Habari wanajukwaa!!
Maisha yanazidi kuendelea huku miaka ya kuishi ikiendelea kuisha bado nipo katika tafakari nzito Juu ya ombwe la vijana kukata tamaa kabisa ya kufanikiwa kimaisha.
Hali...
Mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu imewahukumu kifungo cha miaka sita au faini ya shilingi Milioni 12 kila mmoja na kutaifisha madini yote baada ya kukubali makosa ya kuongoza uhalifu wa kupanga na...
Dar es Salaam, inakwenda kumaliza shida ya maji kutokana na uamuzi na ubunifu wa Ofisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na Majitaka(DAWASA), Injinia Cyprian Luhemeja kunuia kuleta maji kutoka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.