NIDA mnasumbua kwenye vitambulisho vya taifa

NIDA mnasumbua kwenye vitambulisho vya taifa

WEKKI

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2014
Posts
477
Reaction score
146
Mmetoa vitambulishop sawa hakuna tatizo. Unaenda Brela kusajili kampuni wnakwambia eti PERSON NOT FOUND SASA NAJIULIZA maana ya kunipa kitambulisho nosiwepo ni ipi. Mwenye kujua namna ya kulitatua hili anibebee huu msalaba
 
Back
Top Bottom