Passport za kusafiria tanzania

Passport za kusafiria tanzania

smartbonge

New Member
Joined
Aug 27, 2018
Posts
4
Reaction score
2
Habarini ndugu
Mi nlikua najiuliza swali kama passport za kusafiria ni haki ya kila mwananchi ni kwanini kuna kaugumu ka kuipata .Hasa linapokuja suala la kutaka kujua safari ya kwanza . Hamuoni kuwa inawabyima haki wale wanaoandaa kwa matumizi ya baadae au dharura ya kwenda nje ya nchi kisa hauna safari kwa kipindi unapoenda kuiomba hiyo passport !!
 
Naunga mkono hoja, ila 2020 ussichague green part OVER
 
Back
Top Bottom