sir venance
Senior Member
- Oct 26, 2017
- 151
- 226
Wakuu natarajia kwenda Congo drc siku chache zijazo kwa shughuli binafsi,nahitaji kujua changamoto zake japo kwa ufupi tu.Asante
Mkuu mbona zipo nyingi tu kwa wamasai mitaani hukoukirudi usisahau kuniletea vumbi la kongo kaka
mimi nataka og kabisa mkuu uje nayo usinangusheMkuu mbona zipo nyingi tu kwa wamasai mitaani huko
kuwa makini na waasi wa M23Congo sehemu gani unaenda
Wakuu natarajia kwenda Congo drc siku chache zijazo kwa shughuli binafsi,nahitaji kujua changamoto zake japo kwa ufupi tu.Asante