Dr Hosea aliwezaje kuwafunga Mramba na Yona?!!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,616
141,447
Nimetafakari sana jambo hili baada ya kupitia taarifa za yule mkurya wa Musoma aliyefisadi mradi wa maji Bunda pamoja na Musoma hotel. Nikasikia kuwa eti huyio fisadi ni mfadhili wa CCM huko " kijijini" Musoma ndio maana anaogopwa hata na vyombo muhimu. Najiuliza ilikuwaje mkurugenzi wa zamani wa Takukuru alisimamia kesi ya Mramba na Yona kwa ufanisi tena bila woga hadi jamaa wakatupwa gerezani?.....Haiwezekani kukopa mikakati na ujasiri wake hata kama alikuwa na mapungufu mengine? Naomba niishie hapo!
 
Waswahili husema mambo usiojua ni kama usiku wa Giza.Jiulize jamaa wakati wa Zabuni ya kununua Hotel kitu gani kiliipelekea serikali kuuza Hotel?kwa kifupi ukiwa na fedha usipende kununua Mali za serikali,Nunua kwa kampuni au mtu au Jenga chako.Miradi ya Maji nayo jiulize kwa nini imekuwa hivyo cha Msingi inahitajika Repoti na Utetezi wake ili wanajf wafanye analysis
 
Ile ilikuwa danganya toto kwa mamilion ya pesa waliyo yachota wangepewa adhabu za kufagia hospitaliti ?

Inatakiwa ifike wakati tubadili mfumo wa kutoa hukumu, ingefaa hukumu itolewe na walioibiwa ambao ni wananchi, tena itolewe hadharani mchana kweupe chini ya tume kama ile ya Warioba
 
Hujui yale yalikuwa ni maagizo kutoka juu? Juu wapi, usiniulize.

Hujui wale walikuwa ni Mbuzi wa Kafara huku mambo yaende?

Kaa hapo.
 
Nimetafakari sana jambo hili baada ya kupitia taarifa za yule mkurya wa Musoma aliyefisadi mradi wa maji Bunda pamoja na Musoma hotel. Nikasikia kuwa eti huyio fisadi ni mfadhili wa CCM huko " kijijini" Musoma ndio maana anaogopwa hata na vyombo muhimu. Najiuliza ilikuwaje mkurugenzi wa zamani wa Takukuru alisimamia kesi ya Mramba na Yona kwa ufanisi tena bila woga hadi jamaa wakatupwa gerezani?.....Haiwezekani kukopa mikakati na ujasiri wake hata kama alikuwa na mapungufu mengine? Naomba niishie hapo!
Ilikuwa amri kutoka juu
 
Mkuu ufisadi wa huyu mkuria na wengine wa aina hiyo utathibitika mahakamani na si toka kwenye vinywa vya watu wenye nguvu.
 
Ile ilikuwa danganya toto kwa mamilion ya pesa waliyo yachota wangepewa adhabu za kufagia hospitaliti ?

Kumbe humu vilaza bado mpo!? Nani alifungwa kwa kula pesa!? Hawa walifungwa kwa kuisababishia serikali hasara wakiwa madarakani kwa kutoa msamaha wa kodi na siyo kuwa walichukua pesa.
 
We ndo zaidi ya kilaza unaposikia kuwa kasababishia serikali hasara kwa kutoa misamaha ya kodi nyuma ya pazia ya misamaha ya kodi unajua kuna nini au ndo hizo akili za kwenye magazeti alafu unakuja kuita wenzako vilaza?
 
Upunguani ndo huu sasa, kosa la kuchukua hela za umma pamoja na kifungo unatakiwa ukitoka ulipe, ila kutumia madaraka kwa kutoa msamaha kinyume na sheria means ulikosea kutoa msamaha ila hukula hiyo pesa,rudi skuli
 
Aya hakula boss umeshinda.
 
Dr Hosea??? Utakuwa umechoka sana kunywa maji ulale.
Bora umeanza kuliona. Mimi nilimtoa maana pale alipomhamisha Mkuu wa Takukuru pale Mbozi Mbeya mwaka 2009 ili kuwalinda mafisadi wa Halmashauri hiyo waliokuwa wakishirikiana na viongozi wa juu wilayani na mkoani.

Wapo watumishi waliumizwa sana na hatua hiyo kama kulipiza kisasi. Leo unamtolea mfano huyu!?
 
K
Nimetafakari sana jambo hili baada ya kupitia taarifa za yule mkurya wa Musoma aliyefisadi mradi wa maji Bunda pamoja na Musoma hotel. Nikasikia kuwa eti huyio fisadi ni mfadhili wa CCM huko " kijijini" Musoma ndio maana anaogopwa hata na vyombo muhimu. Najiuliza ilikuwaje mkurugenzi wa zamani wa Takukuru alisimamia kesi ya Mramba na Yona kwa ufanisi tena bila woga hadi jamaa wakatupwa gerezani?.....Haiwezekani kukopa mikakati na ujasiri wake hata kama alikuwa na mapungufu mengine? Naomba niishie hapo!
Kwanini umemtolea mfano huyu mkurya umeshindwa kuwatolea mfano watu kama vile nyoka wa makengeza na team yake au una chuki na huyu mkurya
 
Back
Top Bottom