Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,627
Wahudumu wa afya ( manesi) huwa ni wakali sana, kuanzia sura zao mpaka vitendo vyao kwa wagonjwa na familia zao .
Manesi wa kike huwa hawapendi sana kuishi under control ya mtu ( hasa mwanaume ), ndo maana wengi huzalishwa na kuachwa bila kuolewa , bila kuwa na wanaume .
Unakuta manesi wengi wamekuwa na umri mkubwa lakini wanaishigi wenyewe tu magheto kibandidubandidu! Wagumu na wenye hasira kila dakika!
Manesi ni wazuri sana ila kuolewa watapata taabu sana!