Eng Isaac Kamwelwe, unaniangusha bwana!

Eng Isaac Kamwelwe, unaniangusha bwana!

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
18,688
Reaction score
31,089
20180920_090740.jpg

Eng I Kamwelwe akisaidia kufunga bolt na nuts za kudhibiti reli ya chuma.

Lakini ameniangusha.
Na mimi ni mkandarasi mdogo.

Wallahi angekuwa mfanyakazi wangu kafanya hivyo ningemtimua kazi.
Kwanza, helmet haijavaliwa.
Pili, gloves hakuna.
Tatu, mhandisi KAKAA CHINI!

Wanaosema ukandarasi ni kazi rahisi na waseme sasa!
Ref Daily News pg 2.
 
Back
Top Bottom