Kikwete anatakiwa kufanya hivi to save 'his neck' | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete anatakiwa kufanya hivi to save 'his neck'

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kikwebo, Oct 2, 2007.

 1. K

  Kikwebo JF-Expert Member

  #1
  Oct 2, 2007
  Joined: Aug 25, 2006
  Messages: 352
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Nakumbuka kabla Brown hajawa Prime Minister na Kiongozi wa Labour Party..Labour were almost going to a defeat. Waingereza walishapoteza muelekeo na Opinion polls almost zote zilikuwa zinaonyesha kuna zaidi ya 10% gap kati yao na Conservative. Blair akashauriwa ang'atuke ilikurekebisha mambo..mwanzo alikuwa mgumu kiasi. Lakini baada ya kufuata na wazee wa Chama ilibidi afuate matakwa.
  Mwishoni mwa wiki nimesikiliza Skynews nimeona kama Labour imerecover na imeweza kuwa zaidi ya 10% kwenye opinion poll dhidi ya Conservative.

  Kama Tz kungekuwa na hizi free Opinion polls tungegundua kama CCM is in all time low dhidi ya wapinzani. Sababu kubwa ikiwemo hizi habari za Mikataba na hizi tuhuma za ufisadi.
  Kama ningekuwa Kikwete au mshauri wake ningefanya yafuatayo..
  - Fanya reshufle ya Mawaziri kwa kuwaondoa kabisa wanotajwa vibaya..of course akiwemo Mr Kara
  - BOT , gavana angeondolewa..hata hapa ingetumika hoja kama amekaa madarakani muda mrefu ofkozi na uchunguzi waseem kama unaendelea.

  Ila hizi tabia za kulazimisha kujibu jibu sidhani kama zitasaidia Chama kinazidi kumomonyoka na wananchi wanazidi kukosa imani na viongozi wao akiwemo Mheshimiwa Raisi ambaye walimpa matumaini makububwa mno..ushindi wa salimia 80 unadhihirisha imani waliyokuwa nayo wananchi.
  kingwele wa Kingwele.
   
 2. K

  Koba JF-Expert Member

  #2
  Oct 4, 2007
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 6,144
  Likes Received: 495
  Trophy Points: 180
  ..acha kuwashtua waendelee kujitia kitanzi na wakija kushtuka hawana bunge wala ikulu
   
 3. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #3
  Oct 5, 2007
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135
  Matatizo yanayoikumba Serikali yameanza na CCM mtandao na CCM asili, kwanza wakianza na hilo hatua ya pili ni kumuondoa Lowassa hapo kila kitu kitakuwa safi, ukiwa na PM mzuri wengine wanaweza kuwa monitored.
   
 4. R

  Rwabugiri JF-Expert Member

  #4
  Oct 5, 2007
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 2,777
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Bongo lada you are very right,

  Kuboronga sana kwa awamu hii kunachangiwa na PM Bomu, kwa haraka haraka angalia yafuatayo:

  -Udikteta wake wa kukaripia viongozi hasa akiwa ziarani mikoani
  -Kauli zake za kukurupuka, mara ndege ina paa, mara visungura n.k
  -Kulipiza visasi, mfano sakata la wabunge wa Arusha walo kamatwa na TAKUKURU
  -Tamaa ya kujilimbikiza mali na wizi.. mfano RICHMOND
  -Udikiteta wake na kutafuta umaarufu kwa nguvu kuwalzimisha wafanya biashra wachangie vitu mbali mbali kwa kutumia cheo chake

  -Kibaya zaidi,Ameriburuza bunge na kuliharibu kwa mwamvuri wa nidhamu ya chama, kitu ambacho ndo kimekoleza chuki kubwa kwa wananchi.

  Nadhani Njia pekee ya kujinasua Jk ni pamoja na kumtema EL period.
   
 5. Kasheshe

  Kasheshe JF-Expert Member

  #5
  Oct 5, 2007
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 4,690
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  so wanapoharibu wananchi wanafaidika ehee???
   
 6. Dua

  Dua JF-Expert Member

  #6
  Oct 5, 2007
  Joined: Nov 14, 2006
  Messages: 2,481
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135

  Vipi opinion poll ya week hii Labour na Conservative wako neck to neck? 38% each. Je unamtazamo namna gani?
   
 7. M

  Msesewe Senior Member

  #7
  Oct 11, 2007
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu waungwana,
  naomba kufahamishwa kama kweli kujenga makao makuu ya Tanroads katikati ya mji kama Dar es Salaam ni sahihi?
  Kwa habari za uhakika ni kwamba Tanroads wamenunua viwanja 3 katikati ya mji( Kiwanja cha Tigo, Vodacom, Na kinachofuata) kwenye barabara ya Ohio vinatazamana na Jengo la Posta. wamepewa fund kutoka World Bank kujenga makao makuu, wamekataa kujenga kule mabibo walipo kwa sasa.

  nashidwa kuelewa kwa nini Tanroads wajenge katikati ya mji? kwa nini wasiende Dodoma? ni lini tutanza kupeleka makao makuu Dodoma? au ni Proganda?
   
 8. Kasheshe

  Kasheshe JF-Expert Member

  #8
  Oct 11, 2007
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 4,690
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145

  Ubinafsi ndugu yangu hakuna zaidi ya hapo,,, ingekuwa mimi nisingependa kujenga mjini kwenye congestion ya kupita kiasi,,, anyway TANROAD Makao makuu yaweza kuwa popote....

  Tatizo langu ni taasisi zifuatazo kuwa pale mjini...

  1. Shule ya Msingi Bunge
  2. Chuo Kikuu Cha Fedha na Uongozi - IFM
  3. Shule ya Sekondari Shaaban Robert
  4. Taasisi ya Technologia ya Dar es Salaam - DIT
  5. Soko ya Samaki Magogoni Mkabala na Ikulu
  6. Soko ya Nyanya Kariakoo
  7. Wizara ya Elimu
  8. Wizara ya Ardhi
  9. Makao Makuu ya Jeshi la polisi
  10. Chuo Kikuu Cha Muhimbili na Hospital yake
  11. Chuo cha Biashara - CBE
  11..
  -------------------------------------
  Kwa maoni yangu,,, ukiondoa hizo taasisi kule mjini utakuwa umepunguza misururu ya foleni kwa asilimia 20-40%, hivyo huhitaji kupanua barabara leo,,, na hayo mabasi yenu yayaoenda kasi... maana yatakuja kweli kasi lakini yakifika city centre hayatembei - kisa ubinafsi wa kudhani kaofisi kamoja kanaweza fikiria wenyewe bila kuhusisha wadau wengine...

  Naomba kutoa hoja
   
Loading...