mwanamke anaweza kuwa "shoga".?

ntundaga

Senior Member
Sep 13, 2018
140
197
tunafahamu kua shoga ni jina analoitwa mwanaume mwenye tabia za kike au kuingiliwa kinyume na maumbile, vipi kwa mwanamke anaye ingiliwa kinyume na maumbile tunaweza kumwita shoga pia? ushoga ni tabia za kike au kitendo cha kuingiliwa kinyume? vipi mwanamke mwenye tabia za kiume "tom boy" akiingiliwa kinyume na maumbile? inamtosha kuitwa shoga?
 
ndio anaweza
 
Swali gani coco.....
wanawake wenyewe wanaitana mashogo......kwa maana ya rafiki.....utasikia wanasema ...."naenda kwa shoga angu"....hilo ni neno asili yao kwa maana rafiki wa kike..... mwanaume kuitwa shoga manake una tabia za kike.... ikiwepo kupigwa kibunzi
 
tunafahamu kua shoga ni jina analoitwa mwanaume mwenye tabia za kike au kuingiliwa kinyume na maumbile, vipi kwa mwanamke anaye ingiliwa kinyume na maumbile tunaweza kumwita shoga pia? ushoga ni tabia za kike au kitendo cha kuingiliwa kinyume? vipi mwanamke mwenye tabia za kiume "tom boy" akiingiliwa kinyume na maumbile? inamtosha kuitwa shoga?
Nikurekebishe kidogo.
Shoga (kwa maana moja) ni mwanamume anaeshiriki mapenzi na mwanamume mwenzie, haijalishi anaingiliwa au anamwingilia mwenziwe. Wote kwa ujumla wao ni mashoga, ndio maana tunasema "ndoa za mashoga"
 
tunafahamu kua shoga ni jina analoitwa mwanaume mwenye tabia za kike au kuingiliwa kinyume na maumbile, vipi kwa mwanamke anaye ingiliwa kinyume na maumbile tunaweza kumwita shoga pia? ushoga ni tabia za kike au kitendo cha kuingiliwa kinyume? vipi mwanamke mwenye tabia za kiume "tom boy" akiingiliwa kinyume na maumbile? inamtosha kuitwa shoga?

Unamjadili vipi Wema Sepetu au wabeba mikoba wake?
 
Lesbian ni wasagaji , ( the issue is the penis to penatrate throgh the anus ) anaefanyiwa na anaefanya wote ni mashoga . Swali kwa mwanamke hawezi kufanya ila anafanyiwa , tumuite nani huyu ?? Haloo gays !!!
 
Back
Top Bottom