Nimefanikiwa 'Kuhasi Dume la Bata!'

Nimefanikiwa 'Kuhasi Dume la Bata!'

Sauda

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2018
Posts
861
Reaction score
1,114
Zoezi lilikuwa 'Gumu kidogo', ila kwa umakini niliokuwanao, zoezi limeisha salama!

Nasubilia majibu ya oparesheni yangu hiyo ambayo itakuwa ya kihistoria kuwahi fanyika.

Nitakuja na Picha pamoja na Video muda mchache ujao!..
 
Ikimbie zinaa
 
Lengo lako ni nini hasa kama sio kukitesa hicho kiumbe..?
 
Wanao wa hasi mbuzi na ng'ombe lengo huwa nini???

......exactly!.....
 
Back
Top Bottom