Forever Living!

Mawenzi

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
1,251
345
Hodi wana JF! Hivi karibuni kulikuwa na thread kuhusu Forever Living. Wachangiaji wengi waliponda sana hii kitu.

Lkn nimeambiwa kuwa jana jioni baada tamasha pale Jamhuri Stadium Dodoma, JK alienda kula chakula cha jioni na hawa jamaa pale St Gasper. Na leo mchana anahudhuria mkutano wa hawa jamaa pale Dodoma Hotel. Ataambatana na mawaziri 6.

Nasikia Forever living ni wa pili au wa tatu kulipa kodi kubwa serikalini.

Hii imekaaje? Mimi nilikuwa nadhani (na watu wengine wengi) hawa jamaa ni matapeli fulani hivi. Inaelekea shughuli zao ni halali!

Nawasilisha!
 
Forever Living ni kampuni kubwa ya kuuza bidhaa zenye virutubisho vya asili hasa Aloe Vera na bidhaa zitokanazo na nyuki.

Huu usemi hawa jamaa ni matapeli wala sielewi umetoka wapi. Ila ni kweli ni moja ya makampuni yanayolipa kodi kubwa Tanzania. Leo saa mbili angalia TBC kuna habari ya hiyo kampuni inatarajiwa kurushwa.

Si kweli kama JK alihudhuria ila Mawaziri ndio waliokuwepo.
 
Bei zao sasa ni za class fulani ya watu wenye hela. Waliotumia products zao wakafanikiwa waje watoe ushuhuda hapa.

Si kweli bidhaa zao zote ni mpaka uwe na hela ya kutisha. Ina tegemea unataka bidhaa gani. Kwa mfano dawa ya meno ni 14,000 na stick ya kwapa ni 14,000 na bidhaa nyingi za tube za matumizi mbalimbali zina range kuanzia 26,000 - 35,000.

Products zao kuanzia perking na muonekana ni top quality produts kwani karibu products zote zinakua sealed na wameandika kabisa ukiona haina seal usinunue.

Manufaa yanayopatikana ukulinganisha na pesa unayotoa kwa kweli unapata faida na la mwisho kabisa usitarajie quality products kupata kwa bei ya chini kabisa kama bidhaa zengine za kawaida.
 
Kualika mawaziri au hata Rais ni mbinu ya kuvuta watu wa kujiunga na kupata wanunuzi wa bidhaa zao. Pyramid schemes zinategemea uwingi wa wanachama ili walio katika ngazi mbalimbali kwenye pyramid wazidi kuneemeka.

Kuhusu bidhaa za hao Forever Living na wengine kama wao, ambazo ziko nje ya uwezo wa walala hoi, mimi binafsi sizitaki tena kabisa. Nilikwishazitumia na hazikunifaa zaidi ya kutoboa mifuko yangu.

Hata hivi kama unaamini kuwa una ushawishi mkubwa wa kuweza kupata wachama wengi na kuuza sana bidha zao - jiunge ufanye biashara hiyo. Vinginevyo utapoteza muda wako na pesa zako.
 
Si kweli bidhaa zao zote ni mpaka uwe na hela ya kutisha. Ina tegemea unataka bidhaa gani. Kwa mfano dawa ya meno ni 14,000 na stick ya kwapa ni 14,000 na bidhaa nyingi za tube za matumizi mbalimbali zina range kuanzia 26,000 - 35,000.

Products zao kuanzia perking na muonekana ni top quality produts kwani karibu products zote zinakua sealed na wameandika kabisa ukiona haina seal usinunue.

Manufaa yanayopatikana ukulinganisha na pesa unayotoa kwa kweli unapata faida na la mwisho kabisa usitarajie quality products kupata kwa bei ya chini kabisa kama bidhaa zengine za kawaida.

Dawa ya meno 14, 000? we acha masihara nina familia ya mtu saba hapo kwenye hiyo hesabu napata colget tube saba.
 
Najiuliza Wote Wanaotoa Ushuhuda Wamenufaika Na Hawa Flp Ni Uoongo Maana Watu Wote Watoke Kwa Kuuza Bizaa Zao Tu Akuna Njia Nyingine Kwa Maisha Alisi Ya Tanzania Auwezi Kuuza Dawa Ya Meno 14000 Unufsike Na Kuwa Tajiri Huu Ni Uongo. Wengi Nawaona Na Mabegi Nawaulizi Lini Mtauza Na Magari Kama Wenzenu Wanasema Watu Wanafanikiwa Wana Magorofa Kinachonishangaza Wao Hawana Hayo Magorofa
 
Hawa watu ni wataalam wa ku-brain wash individuals kiasi kwanba wanapata ellusions za ajabu za kuwa matajiri kwa kuuza dawa za meno..! hahahah.., kibaya zaidi dawa ya meno ya shs.2000/= wao wanataka kutuaminisha zinacost 35,000/=...!!!! rubbish..., pyramid scheme ya kimbwa hii ***** na siku zenu zinahesabika..!!
 
Tatizo co bei..........suala ni quality ya products zao. kuhusu kuwa walipa kodi wakubwa ni ukwel kabisa,kuna mwaka walilipa kodi zaid ya bakhressa ktk mkoa wa Temeke, kwa sasa wanahamia kinondoni i think ndo watakua wanaongoza kwa ulipaj wa kodi ktk mkoa huo. Na kila mwaka wapo katika top 100 makampuni yanayokuwa kwa kas nchini

Wanaosema ni Pyramid shceme nafikir hawajui pyramid scheme ni nn (waingie google wajue tofaut ya pyramid scheme na Network marketing) Kifupi pyramid scheme huwez kumpita aliekuingiza kweny biashara but network marketing inawezekana kabisa na c kitu cha ajabu (mimi ni mfano halisi na wengine wengi tu), FLP wanafanya Network marketing (biashara ya mtandao), ingekua ni pyramid scheme ingeshafungiwa cku nying kama ilivofungiwa Tellex free, FLP ipo TZ mwaka wa 8 sasa, imesajiliwa, serikal washapata zaid ya 9.5 billion kama kodi katika kipind hiko.

Tukija upande wa distributors wake, vijana wanapiga hela za kutosha, anaeongoza kiujumla mpaka mwaka jana ametengeneza 2.8 billion(kwa miaka 8), anaitwa Alphonce Chillato weng wanamjua,lakn miaka miwil iliopita wapo ambao wanamzid pesa kwa maana ya mapato ya mwaka mzima, wapo akina Mr & Mrs Enos Salema (huyu mwaka jana katengeneza over 500m), Mr & Mrs Mgoyo (zaid ya 300m), Chilato mwenyew (over 300m), Mr & Mrs Khushe (over 200 m), Blandina Njau (over 150m) wapo weng sana wanao-range (50-200m). Huyo Enos ni mtu wa tano chin ya chillato lakin mwaka jana katengeneza pesa zaid ya watu wake wote wanne walioko juu yake (afu mnaita pyramid scheme(usililijua ni kama ucku wa giza)) Hao nilowataja hapo juu ni wachache wanaoangaliwa kama leaders hapa TZ. Na ukisikia mta anatengeneza 25m kwa mwez jua kuwa chin yake wapo wengi pia wanatengeneza mpk 5-20m, lakin wakikaza buti wana uwezo uwezo wa kumpita na ndio maana ya ile (6%,3% na 2%) ili kuleta fairness (ulipwe kulingana na efforts zako)

Na ishu co kuuza products, ishu ni network yako ina consume kiac gan kila mwez ndo bonus yako inakua-calculated (6% first generation, 3% second generation na 2% third generation), its the business of sharing information, kuuza product au kupata mtu wa kujiunga chini yako ni results of the core activity (sharing information), na 95% of the business ni kutengeneza timu, only 5% ndo utafanya retailing (kwa watu wako wachache ambao watapenda kuwa watumiaj na co distributors), wanakupa hela unawachukulia products cause hawakuuzii direct kama co member

Network marketing ndo mtindo wa kisasa wa kusambaza bidhaa (soma the Business of 21st century by Robert Kiyosaki and other many more books), huu mtindo unayapunguzia makampun gharama kubwa sana (matangazo, distribution chain (agent, whole seller, retailer, etc)), hiz gharama zote ndo zinakuja kwa distributors kama bonus ndo maana mnashngaa pesa zote znatoka wap, lakin pia mtindo huu unaipeleka biashara ya kampun husika haraka sana, FLP mpaka sasa ipo kweny nchi 158 ila mweny kampun hajawah tembelea hata nchi nusu ya hzo lakin bidhaa zmefika. Na kama distributor unaruhusiwa kuwa na network ndan ya hiz nchi (what the opportunity!!!)

Ni suala la uelewa tu ndugu zangu, ingien google mjaribu kuielewa hii business vzr.............hao mnaowaona mtaan hawafany business professionally na ndio maana maisha yao hayajabadilika,lakin ni biashara ambayo ukifuata misingi na taratibu zake utatengeneza pesa za kutosha na hata ndoto zilizokuwa zmekufa zitafufuka, Enos ninaemzungumzia hapa hana miaka zaid ya 32, yupo kweny business mwaka wa 7, ana-drive brand new (0 km) Land Rover Discovery 4, kwasasa anatafuta kiwanja town aanze project yake ya ghorofa, anaish maisha ambayo weng mtakufa bila hata kuyaish (kama hamtakubal kubadilisha mitazamo na kutafuta potential zenu na kuacha siasa). Na ameweza yote hayo kwa biashara hiihii ambayo weng mnaidharau (sababu hamjui how does it operate na hamtak kujua cause mnafikir mnajua). Na wapo wengi tu wanaotengeneza around 5 - 25m per month, nmemtolea mfano Enos cause ni kijana mwenzetu na ni wa umri wa members wengi wa JF. (sijui ww una umri gan, una miliki nn na unatengeneza kias gan kwa mwez au mwaka)

Wakati ninyi mnaona products (dawa za meno, perfume, lotion, etc etc)............wengine wanaona utajir na maisha mazur, forever hiihii wapo members wake wanaisha oysterbay, masaki, upanga, na maeneo mengi ambayo kwa wengine ni ndoto, wengine washanunua apartments maeneo hayo (sijui nyie mnaopinga mnaish wap na kwa mwez mnatengeneza shiling ngap). Kwahyo jaribun kuwa wachunguz na muache tabia ya kuwasikiliza walioishindwa hii biashara............nawashaur watafuten hao niliowataja hapo juu muwaulize wawape in and out of this business, ni watu wanaotengeneza pesa nying lakin wana utu sana cause forever is the business of 'Love', mjaribu kupata ushaur kwa waliofanikiwa co walioshindwa. Naelewa wapo walioshindwa na wataendelea kushindwa, hii inatokana na wao kushindwa kufuata taratibu na mafunzo, mbona shulen wanafel kila cku lakn hatuachi kusoma???

Nimalize kwa kusema hivi.................chochote unachotaka kufanya wapo watakao kushauri (nn cha kufanya, usifanye, etc etc), lakin ujue baada ya muda utafanana na huyo aliekushaur. By the time nyie mnaiponda huku wenzenu wanaendelea kupiga pesa na kuzid kutanua network zao.............kipato unachotengeneza kwa mwaka kwa wengine ni cha nusu mwez, by the way ni maisha yenu its non of their business, but network marketing is now the beautifully business on earth (Bill Gates mwenyew alisema kama angepewa nafas ya kuanza upya angefungua kampun ya inayofanya biashara kwa mtindo wa Network marketing)

Don't take financial advice from broke people.........................

If you think its too good to be true..............THEY ARE PAID,
If you think its a scam................THEY ARE PAID,
If you don't join them...............THEY ARE PAID,
If you join them....................YOU WILL ALL GET PAID.

Kwa sasa niishie hapo, for more information you can ask or comment.

Or check me 0715782872 (call,watsup or sms)
email: samson.ndosi@gmail.com
 
Umenikumbusha mengi. Kwa jinsi ulivo hodari wa utetezi kwa kujenga hoja, Mchungaji Gwajima akikuona walah ndo ushakuwa tajiri mchana kweupe.
 
Tatizo co bei..........suala ni quality ya products zao. kuhusu kuwa walipa kodi wakubwa ni ukwel kabisa,kuna mwaka walilipa kodi zaid ya bakhressa ktk mkoa wa Temeke, kwa sasa wanahamia kinondoni........ BLAH BLAH BLAH............

Yaani nyie watu sijui mnasomeaga physchology kwenye chuo gani hakyanani..! sasa kututajia hao watu walio huko kileleni kwenye hilo li-pyramid lenu ina-jibu vipi hoja kwamba FLP ni pyramid scheme..??!, kututajia pesa nyingi wanazoingiza hao watu walio juu kwenye hiyo pyramid scheme zinazotokana na pesa nyingi wanazotoa loosers wengi walio chini kwenye hiyo pyramid scheme ina-jibu vipi hoja kwamba nyinyi ni pyramid scheme..??!, kila ulichotaja hapo ni characteristic kabisa na pyramid schemes a.k.a DECI.., yaani mnachofanya nyinyi ni sawa na mtu uokote mawe mazuri kutoka baharini halafu ufanye kazi ya kumwaminisha mtu kwamba haya mawe yana-uwezo wa kutibu Ukimwi alafu ukayauza (kwa shida sana) kila jiwe 2million.., then huyo unaemuuzia na yeye akipata wajinga wenzake wa kuwaunganisha kwenye pyramid basi mnagawana gawio lake.., mimi naomba nikuite MBWA..!!!!!!!!!!

S
Investor Alerts and Bulletins
headerBarDetail.jpg

Beware of Pyramid Schemes Posing as Multi-Level Marketing Programs
Oct. 1, 2013

The SEC's Office of Investor Education and Advocacy is issuing this Investor Alert to warn individual investors about pyramid schemes, a type of investment scam that fraudsters often pitch as a legitimate business opportunity in the form of multi-level marketing programs.
Have you ever been tempted by an advertisement or offer to make "easy money" or "online income" out of your own home? Multi-level marketing ("MLM") programs are promoted through Internet advertising, company websites, social media, presentations, group meetings, conference calls, and brochures. In an MLM program, you typically get paid for products or services that you and the distributors in your "downline" (i.e., participants you recruit and their recruits) sell to others. However, some MLM programs are actually pyramid schemes -- a type of fraud in which participants profit almost exclusively through recruiting other people to participate in the program.
Pyramid schemes masquerading as MLM programs often violate the federal securities laws, such as laws prohibiting fraud and requiring the registration of securities offerings and broker-dealers. In a pyramid scheme, money from new participants is used to pay recruiting commissions (that may take any form, including the form of securities) to earlier participants just like how, in classic Ponzi schemes, money from new investors is used to pay fake "profits" to earlier investors. Recently, the SEC has sued the alleged operators of large-scale pyramid schemes for violating the federal securities laws through the guise of MLM programs.
When considering joining an MLM program, beware of these hallmarks of a pyramid scheme:

  • No genuine product or service. MLM programs involve selling a genuine product or service to people who are not in the program. Exercise caution if there is no underlying product or service being sold to others, or if what is being sold is speculative or appears inappropriately priced.
  • Promises of high returns in a short time period. Be leery of pitches for exponential returns and "get rich quick" claims. High returns and fast cash in an MLM program may suggest that commissions are being paid out of money from new recruits rather than revenue generated by product sales.
  • Easy money or passive income. Be wary if you are offered compensation in exchange for little work such as making payments, recruiting others, and placing advertisements.
  • No demonstrated revenue from retail sales. Ask to see documents, such as financial statements audited by a certified public accountant (CPA), showing that the MLM company generates revenue from selling its products or services to people outside the program.
  • Buy-in required. The goal of an MLM program is to sell products. Be careful if you are required to pay a buy-in to participate in the program, even if the buy-in is a nominal one-time or recurring fee (e.g., $10 or $10/month).
  • Complex commission structure. Be concerned unless commissions are based on products or services that you or your recruits sell to people outside the program. If you do not understand how you will be compensated, be cautious.
  • Emphasis on recruiting. If a program primarily focuses on recruiting others to join the program for a fee, it is likely a pyramid scheme. Be skeptical if you will receive more compensation for recruiting others than for product sales.
The SEC has taken emergency enforcement action to stop alleged pyramid schemes that violate the federal securities laws, including schemes disguised as MLM programs.
For example, in a recently filed litigation, SEC v. CKB168, the SEC filed charges to stop an alleged pyramid scheme perpetrated under the façade of an MLM program for online children's courses. The promoters of the scheme allegedly solicited investors worldwide, including targeting members of Asian-American communities in New York and California. The SEC alleges that these promoters misrepresented CKB as a legitimate and profitable MLM company that sells web-based children's educational courses when, in fact, CKB has little or no retail consumer sales and no apparent source of revenue other than money received from new investors.
In an adjudicated settled action, SEC v. Rex Venture Group, the SEC shut down a $600 million fraud that duped approximately one million Internet customers through a complex investment scam involving a Ponzi scheme promoted as a daily profit-share pool and a pyramid scheme pitched as an MLM program for Zeekrewards.com, the self-described affiliate advertising division for zeekler.com, a penny auction website. The SEC alleged that, for the pyramid scheme component of the scam, the defendants promised bonuses and commissions to customers for enrolling in a monthly subscription plan and recruiting others to join the plan. However, according to the SEC's complaint, new customers' funds were pooled and used to pay recruiting bonuses to existing customers because there was no substantial legitimate revenue from product sales.
Pyramid schemes cannot be sustained and always collapse eventually. Protect yourself and your money by steering clear of any "opportunity" bearing warning signs of a pyramid scheme.
Additional Resources

To report a possible securities fraud, ask a question, or report a problem concerning your investments, your investment account, or a financial professional, please visit http://www.sec.gov/complaint/select.shtml.
To receive the latest Investor Alerts and Bulletins from the SEC's Office of Investor Education and Advocacy, sign up for our RSS feed at sec.gov/rss/investor/alertsandbulletins.xml or for email at sec.gov/news/press/subscribe_updates.htm. You can also follow us on Twitter @SEC_Investor_Ed, or visit Investor.gov, the SEC's website dedicated to individual investors.

SOURCE

1370547749627

Tukija upande wa distributors wake, vijana wanapiga hela za kutosha, anaeongoza kiujumla mpaka mwaka jana ametengeneza 2.8 billion(kwa miaka 8), anaitwa Alphonce Chillato weng wanamjua,lakn miaka miwil iliopita wapo ambao wanamzid pesa kwa maana ya mapato ya mwaka mzima, wapo akina Mr & Mrs Enos Salema (huyu mwaka jana katengeneza over 500m), Mr & Mrs Mgoyo (zaid ya 300m), Chilato mwenyew (over 300m), Mr & Mrs Khushe (over 200 m), Blandina Njau (over 150m) wapo weng sana wanao-range (50-200m). Huyo Enos ni mtu wa tano chin ya chillato lakin mwaka jana katengeneza pesa zaid ya watu wake wote wanne walioko juu yake (afu mnaita pyramid scheme(usililijua ni kama ucku wa giza)) Hao nilowataja hapo juu ni wachache wanaoangaliwa kama leaders hapa TZ. Na ukisikia mta anatengeneza 25m kwa mwez jua kuwa chin yake wapo wengi pia wanatengeneza mpk 5-20m, lakin wakikaza buti wana uwezo uwezo wa kumpita na ndio maana ya ile (6%,3% na 2%) ili kuleta fairness (ulipwe kulingana na efforts zako)

Don't take financial advice from broke people.........................

Or check me 0715782872 (call,watsup or sms)
email: samson.ndosi@gmail.com
Umetaja wachache waliopata mamilioni.Ingekuwa vema ukaeleza: Jee kuwafikisha hao wachache kwenye mamilioni ni watu laki ngapi wanamaliza viatu barabarani bila mafanikio na kuishia kukata tamaa? Pili -je wee umepata mamilioni mangapi mwaka ulioisha, au ni moja wa wasindinkizaji?
 
Back
Top Bottom