Kumbe Hizi kelele zetu tunazopiga kwenye Mitandao zinasikilizwa licha ya kuonyesha hawajali. Mfano mmoja mzuri ni Suala la hawa ndugu zetu wakenya ambao waliamua kuandamana kwenye Mitandao kudai...
Watu watatu wamefariki dunia kati ya 22 baada ya boti waliyokuwa wakisafiria kugonga gogo na kupinduka kwenye Mto Rufiji katika Kijiji cha Nyaminywili, Kata ya Kipugila mkoani Pwani.
Habari jf, njia ya kuingia getini kwangu ina mchanga mwingi sana hali inayopelekea gari ndogo(iliyochini) kupita kwa shida. Naomba ushauri nitafanyaje ili njia iweze kupitika kiurahisi maana...
Habari za majukumu wakubwa na wadogo..
Nina siku sijapost chochote hapa lakini leo nimeamua nije nishee na nyinyi hapa.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu..
Nilikutana na mdada mmoja...
Assalaam Alaykum
Kwa siku ya leo,wapo miongoni mwetu,walio anza Ibada ya Funga,na wengine wata anza kesho in sha Allah
Kama tulivyosema hapo mwanzo(Japo uzi ulifutwa)
Funga hii ya Ashuraa,ina...
Wakulima mkoani Ruvuma wamesema hawaelewi zao la kulima lenye soko la ukakika hasa baada ya mazao ya Mahindi na Mbaazi kukosa soko.
Wamedai kuwa imefikia hatua wanalazimika kuuza magunia matatu...
Mahakama ya wilaya ya Mpanda mkoani Katavi imemuhukumu Ramadhani Shaban (24) mkazi wa mtaa wa Majengo B kifungo cha miaka 30 jela baada ya kumpata na hatia ya kumbaka mtu mwenye ulemavu wa...
Nimeaoma Taarifa kuhusu kukamatwa kwa Mtangazaji Soudy Brown na Maua Samma na vyombo Vya dola kwa kosa la "KUHARIBU MALI" mara baada ya kuonekana kwenye Video Wakilusha Hela na kuzikanyaga:
Well...
Katika hali isiyokuwa ya kawaida japo ni jambo ambalo linafichwa na sijui ni kwa maana gani au kwa faida ya nani ni kwamba katika muendelezo ule ule wa ' Trade War ' baina ya Tanzania na Kenya...
POLICE TRAFFIC WABORESHE CUSTOMER CARING KWA NAMNA HII.
Shikamooni wakubwa zangu wote.
Kitu ambacho police traffic wanapaswa kukumbushwa ni kuwa si wote wanaoendesha magari hapa Tanzania ni...
Tufanye tafakuri kidogo kwa jambo ambalo lilikua hot kwa miezi kadhaa siku za nyuma nadhani kuanzia mwaka 2016 hadi katikati mwa mwaka 2018 hili sio swala jingine Bali ni swala LA maiti za watu...
Katika hali ya kukabiliana na changamoto ya zao la korosho ili liwe na tija kwa Mkulima Serikali imepiga marufuku matukio ya kula maua na kangomba.
Maagizo hayo yametolewa na Afisa Tarafa wa...
Yaani hakuna mtandao wa unaoiba pesa za watu kama tigo, juzi nimeweka 500 nilikuwa naangalia wanavyokata hivyo mpaka imeisha, huduma za tigopesa gharama IPO huu, mikopo yenu inagharama Sana riba...
Baada ya Punguzo la bei kwa mitungi ya oryx gesi
Mambo bado ayajakaa sawa kwa ndugu zetu wa mihan gas...kiukweli inabidi sasa iundwe bodi ama tume ya kusimamia bei elekezi za gesi
Aiwezekani...
Wakazi wa Idodomya! mko tayari?
Karibuni kwenye #NMBNyumbaDay tarehe 19 na 20 sept 2018 itakayofanyika katika viwanja vya tawi letu la Kambarage lililopo katika jengo jipya la PSPF ili ujifunze...
Habari za asubuhi ndugu zangu, nimeona vizuri kuuliza jambo hili ili kupata msaada wa kisheria na elimu juu ya hii kitu inayoitwa Mtandao. Nauliza kwa sisi wachungaji haturuhusiwi pia kupost...
Radio Tanzania Dar Es Salaam ( RTD), mama wa tbc ndio redio kongwe nchini.
Imechangia sana maendeleo ya nchi yetu tangu Uhuru.
Huwezi kuzungumzia historia ya Tanzania bila kutaja mchango wa...
Naomba msaada kwa wazoefu wa wilaya ya Lushoto mie nimechaguliwa kujiunga na advance Kwemaramba. Sasa sijui kampuni za mabasi ya kwenda Lushoto tokea Dar, mie nipo kusini mwa Tanzania na vip ni...
RIBA ni haramu..
Kwa mujibu wa Qur’an tukufu, kuchukua riba ni dhambi ambayo inasababisha adhabu kali kabisa kutoka kwa Allah swt. Adhabu za kuchukua na kutoza riba ni kali kabisa kuliko madhambi...
Habari wana jf
ANGALIZO USIKURUPUKE KWENYE UZI HUU,,,,,,kama unaupeo mdogo wa kufikiri usijiangaishe
Mheshimiwa M/kiti hongera sana kwakua mikakati yako imefaulu kwa asilimia 88℅
Hakuna tena...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.