tunahitaji watu wanaowajibika kulijenga Taifa lao kwa namna yoyote, kwa muda mrefu sana tumekuwa tukiwaapuzia machinga kwa kuona kuwa ni watu wa haki ya chini.
Lakini ni ukweli usiopingika kuwa...
Habarini jamvini,
Leo katika pita pita zangu YouTube nimekutana na video ya wimbo wa msanii Moni Centrozone unaokwenda kwa jina la 'MIHELA'. Kilichonifanya nikaja na uzi huu ni zile pesa...
Habarini wana jamvi, naomba kwa anaejua utaratibu wa kupata cheti cha kuzaliwa pale Rita. Nataka nijue naanzia wapi na naishiwa wapi, na natakiwa niende na vitu gani. Na vp inagarimu kiasi gani...
Naanza an quote ya mdada anaitw a Grace
Duh! Jamani the struggle is real!! Sasa hivi muda si mrefu nimenusurika kutapeliwa kupitia Mpesa. It was like this; Nimepokea sms inayosomeka hivi M-PESA...
Poleni na mahangaiko ya kutwa nzima!!
Nina mgojwa wangu pale JK Cardiac, kama ilivyokawaida jana majira ya jioni saa 10-12 ni mda wa kuona wagonjwa!!
Nilipofika pale,nikaona watu wenye mawani...
Watu watatu wakiwamo mume na mke wake, wakazi wa Mji mdogo wa Mlowo wilayani Mbozi Mkoa wa Songwe wamekutwa wameuawa na kisha miili yao kutupwa chini ya daraja la Mto Mlowo.
Waliofariki ni Luka...
Hivi nikiwa naishi uingereza nikafungua blog mfano www.uongozimbayatanzania.blogspot.co.uk
Nikija Tanzania nami ntakamatwa kwa kumiliki blog?? Wakati makazi yangu si Tanzania???
Tufike hatua...
Walimu wawili wa shule za msingi Mwagimagi na Kifune wilayani Misungwi mkoani Mwanza, wamefikishwa mahakama ya wilaya hiyo kwa tuhuma za kubaka na kuwapa ujauzito wanafunzi wawili.
Walimu hao ni...
Maana zoezi la uandikishaji lilifanyika tangu May 2018, na bado hatujui lini tutapatiwa, imekuwa ni kikwazo kwangu maana sina kadi ya mpiga kura, passport wala leseni ya udereva na hiki cha Uraia...
Habari zenu wadau.
Mimi napata taabu sana kuelewa ni kwa nini kujiunga na mfuko wa bima ya afya NHIF ni kazi na kuna ugumu kiasi hiki au point ya kuweka hivi ni nini?
Ugumu ninai uona mimi ni...
Hii ni comment ya mtu akichangia kwenye mjadala unao husu wafanyakazi wa benki moja kutoa siri za mteja wao. Naiweka kama jinsi ilivyo .
" Mm mlioko bongo mna kazi. Sasa hao...
Ni watu wachache sana wanakuwa wa kwanza kwenye mambo mbali mbali mazuri
1. Wapo ambao tangu wazaliwe hadi Leo wameoa hawajawahi kutoa bikra..wengi tunakuta used
2.Wengi wetu humu jforum...
Mimi ni mtanzania wa kawaida tu ila si mteja wa hospitali za serikali kwasasa pindi ninapopata tatizo la kiafya.
Nimeongea na baadhi ya watu wanaopata huduma katika hospitali za serikali hasa...
Nimevutiwa sana na mwanadada Naomi Osaka mshindi wa US open 2018 kwa upande wa wanawake,japo pambano lile lilijawa na mushkeri za hapa na pale mwana dada huyo ameendelea kua mtu wa kawaidia hata...
Wakuu salaam..
.
Hivi inawezekanaje mtu kuota ndoto ndefu ndani ya muda mfupi sana?hii inanitokea sana,kwa mfano leo mida ya saa 5 asubuhi wakati nasikiliza taarifa ya habari bbc,nikasinzia.Ile...
Unawezaje kuwafutia watu barua za vyeo zaidi ya mara 2 na kama umewafutia anza kuwalipa haki zao basi hakuna kila siku ni siasa tu
HATA LILE ZOEZI LA UHAKIKI DHUMUNI LAKE ILIKUA NI KUMINYA...
Wakuu Habari.
Leo naomba tuseme na serikali yetu juu ya tozo na viwango mbali mbali kwenye biashara, naona kama sio rafiki kwa biashara na kila anayefunga biashara ukimuuliza anasema kodi ndio...
Kuna malalamiko haya yasifumbiwe macho.
Wananchi wa kijiji cha kebweye wanadhulumiwa ardhi yao, na hili limefanyika tangu 1980 wakati kwa makusudi kabisa mkuu wa wilaya ya Tarime na hata mkuu wa...
Gazeti la mwananchi linaripoti kuwa hao vijana wamekamatwa kw kumiliki blogs,you tube kinyume na Matakwa ya TCRA.
Kwa lugha nyepesi wanamiliki mitandao bila kusajili maudhui.
=====
Dar es...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.