bhuzuri wa bhuzuri
Member
- Sep 13, 2018
- 8
- 2
Jamani nisaidieni kujua Maana ya hiindoto usiku waleo nimeota ndoto. Nyoka mweusi anaye metameta mwenye mikia miwili ana elekea ndani mwangu nikachukua jiwe dogo nika mponda gafra akanilukia na kunigonga mkono wakulia. Nikaufunga kamba karibia na bega ukavimba ukabadilika ngozi ikawa Kama yayule nyoka. Badae ukachanika kwenye vidole nikaanza kutokwa damu. Wadau nimeota maana gani hii ndoto