Wanaoongoza kwa kero barabarani Dar

Wanaoongoza kwa kero barabarani Dar

aka2030

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
2,674
Reaction score
3,743
Kwanza ni magari ya majeshi haya hayafuati taratibu kabisaaa njia ya kwenda yanarudi yenyewe kila mda eana haraka kama wanaharaka si wangeanza safari mapema zaidi wanaboa maana huwa wanalela folen zisizo na faida hapa naongelea polisi uhamiaji fire

Magari ya serikali haya SU stk stl DFPA na magari ya mawaziri mpaka wakuu wa wilaya nao huwa hivo hivo sheria wao za barabarani kama
Haziwahusu

Gari za wagonjwa ambulance hawa nao hata kama hawana wagonjwa utasikia wamewasha king'ora now nashangaa ambulance inatoka dar inaenda bagamoyo imewasha king'ora na hiyo gari ni ya bagamoyo

Daladala na na wenye vigari vya kubebea mizigo kama suzuki carry hawa nao sheria huwa haziwahusu kabsa ndio wanaongoza kutozwa zile 30,000

Bodaboda hawa huwa wanashangaza sana wenyewe sheria hawafuati kabisaa na barabaran unakuta wamejitanua katikati ya barabara yaani kwa akili zao wanaamini kabisa serikali imejenga lami ili bodaboda zipite
 
Sasa wewe unataka watu wasiendeshe magar mtembee tu waenda kwa miguu
 
Hivi haya magari ya jeshi hapa Dar yanafika 50? maana kila siku malalamiko juu ya magari ya kijeshi
 
Hili, la Ambulance hata mm nilijiuliza lkn nikajijibu.

Ambulance, inatakiwa wakati wote ikihitajika iwepo. Kwa hiyo uharaka iwe inatoka au inarudi inapaswa iwe katika uharaka.

Vyombo vya serikali, vinapaswa kupewa kipaumbele kwenye foleni, na ni moja ya majukumu ya askari Wa usalama barabarani.

Kila MTU aliye na jambo la haraka anapaswa asaidiwe kinachotakiwa ni kutoa taarifa, tatizo wengi hatupendi kuzisoma wala kuzizingatia namba za simu za msaada na wakati mwingine kuzitumia kwa mzaha.
 
Hivi haya magari ya jeshi hapa Dar yanafika 50? maana kila siku malalamiko juu ya magari ya kijeshi
Yanasumbua sana mfano jana Tazara nashangaa watu wanahama upande tuu kufika mbele kumbe gari la jeshi linapira sehemu sio yake yani ni rahisi sana kusababisha ajali, mfano msafara wa yule mkuu wao wa jeshi wenyewe hua unaingia upande wa tofauti mida ya 1 na 30 asubuhi sasa kwanini asiamke saa 12 asubuhi awahi huko kazini kama ni muhimu
 
Kwanza ni magari ya majeshi haya hayafuati taratibu kabisaaa njia ya kwenda yanarudi yenyewe kila mda eana haraka kama wanaharaka si wangeanza safari mapema zaidi wanaboa maana huwa wanalela folen zisizo na faida hapa naongelea polisi uhamiaji fire

Magari ya serikali haya SU stk stl DFPA na magari ya mawaziri mpaka wakuu wa wilaya nao huwa hivo hivo sheria wao za barabarani kama
Haziwahusu

Gari za wagonjwa ambulance hawa nao hata kama hawana wagonjwa utasikia wamewasha king'ora now nashangaa ambulance inatoka dar inaenda bagamoyo imewasha king'ora na hiyo gari ni ya bagamoyo

Daladala na na wenye vigari vya kubebea mizigo kama suzuki carry hawa nao sheria huwa haziwahusu kabsa ndio wanaongoza kutozwa zile 30,000

Bodaboda hawa huwa wanashangaza sana wenyewe sheria hawafuati kabisaa na barabaran unakuta wamejitanua katikati ya barabara yaani kwa akili zao wanaamini kabisa serikali imejenga lami ili bodaboda zipite
Hakunaga watu wasumbufu barabarani kama watu wenye vigari vidogo kama vipasso, viist na Suzuki etc hawajali kabisa taratibu za usalama barabarani sometime wanaendesha wakiwa wanachat, na kuhama lane mara kwa Mara
Tabu tupu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] acha bana
 
Kuna comment moja maarufu sijaiona humu....
 
Back
Top Bottom