Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,627
Umeshawahi kwenda kijijini na kukutana na classmets wako wa shule ya msingi ambao hawakufamikiwa kuendelea na shule kutokana na matatizo mbalimbali ( uchumi, kufeli, ugonjwa, familia nk ) ?
Unawaonaje / unamuonaje mwenzio huyo ?
Ukweli wanakuwa wamezeeka haraka sana. Hapa nazungumzia wale wasio na vipato vizuri. Nazungumzia wale wenye maisha ya kuunga unga ama wakulima.
Unaweza kuamwamkia shikamoo.
Hela ni sabuni ya roho.
Agemets wa akina Kikwete, Lowasa, Malecela, Mzindakaya, Mwinyi, Msuya nk ukiwaona utashangaa sana.