Nini hati wachimbaji wadogo wa tanzanite

Nini hati wachimbaji wadogo wa tanzanite

Bizoo1

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2018
Posts
425
Reaction score
314
Kufuatia sakata la mikataba ya wafanyakazi wachimbaji wadogo asilimia kubwa wamejikuta wako nje ya ukuta hii kupelekea kuzorota kwa uzalishaji wa madini hayo adimu, Vyombo husika ni wakati muafaka wakumaliza utata na wamiliki mana ukimbana muwekezaji mzawa anayeumia ni apolo leo hii mererani imekuwa sehemu hatarishi kuishi mzunguko wa pesa umekuwa mdogo sana.

Nivizuri mamlaka husika ilitazame swala hili kwa kina mana 90% ya wanakijiji wa mererani wanategemea madini .
 
Mererani hali mbaya sana mana uzalishaji ni mdogo sana na hili sakata zimeikosesha serikali kodi mana uzalishaji ukiwepo kodi inapatikana,shida iliyopo ni RC ndio analeta shida yote ila hili sakata litarudisha nyuma mkoa wa manyara kimaendeleo
 
Bomu wezi linatengenezwa hapo, bomang’ombe, Arusha wajiandae.
 
S
Kufuatia sakata la mikataba ya wafanyakazi wachimbaji wadogo asilimia kubwa wamejikuta wako nje ya ukuta hii kupelekea kuzorota kwa uzalishaji wa madini hayo adimu, Vyombo husika ni wakati muafaka wakumaliza utata na wamiliki mana ukimbana muwekezaji mzawa anayeumia ni apolo leo hii mererani imekuwa sehemu hatarishi kuishi mzunguko wa pesa umekuwa mdogo sana.

Nivizuri mamlaka husika ilitazame swala hili kwa kina mana 90% ya wanakijiji wa mererani wanategemea madini .
Sio 90% tuu ndugu mji mdogo mirerani hakuna biashara nyingine isio tegemea madiniiii..........madini ndio uti wa mgongo wa mjiii huu bila shughuli za uchimbajiii maisha ni magumu sanaaaah......mamalaka husika wafanye him a kutatuah tatizo hiliii maana maisha yanazidiiiii kua magumu sanaaaa kwa wananchi wa mji mdogo mirerani
 
Tatizo ni kwamba hadi wataalamu waliosomea kozi za madini wamekuwa kimya mkuu wa mkoa ndio kila kitu ,Badala ya kuongeza viwanda si tunaua viwanda ,Maeneo ya simanjiro mengi yana utajiri mkubwa serikali ingepeleka umeme maeneo mengi kodi ingepanda mara dufu ni wakati muafaka sasa mkuu wa mkoa kujitathimini upya na kuacha siasa za chuki
 
Back
Top Bottom