Channel Ten mnazingua

Channel Ten mnazingua

Kyoombe

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2011
Posts
1,211
Reaction score
785
Kwa muda mrefu kituo hiki matangazo na picha haziridhidhishi hata kidogo.
Mikwaruzo ya picha na kigugumizi cha sauti vinatawala kwenye taarifa ya habari mara kwa mara.
Jirekebisheni
 
Huwa napenda kipindi chao cha utalii kipo vizuri,kuhusu picha ni mbaya ila haijafikia tv yetu pendwa T.......B.......C
 
Back
Top Bottom