ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,557
Sasa ni saa 7 na dakika tano usiku nafungua Internet ndio nastushwa kuona kuwa kumetokea ajali mbaya ya kuzama kivukoni, binafsi natoa pole nyingi kwa wafiwa na waliookolewa/walionusurika,
Kikubwa kinacho niuma ni kukosa taarifa za matukio muhimu kwa kadri yanavyotokea, mbona tunakosa haki yetu ya kupata habari? Nina decorder ya Azam leo mchana bunge la Kenya wabunge walikua wakichambua waraka wa Rais uhuru kwa uwazi kabisa na live coverage, nilivutiwa na kuchukua muda kusikiliza Hoja mbalimbali, local channels za Kenya almost zote kubwa zitapatikana Azam TV, vivyo hivyo za Uganda na Rwanda
Nimejiuliza hapa kwetu shida hasa ni nini? Sawa ikiwa vituo vinginevyo vilikiuka vigezo basi si wakae Chini na kuwapa leseni? Tunapitwa na mambo mengi mno! Vipi tutaweza kwenda sambamba na wenzetu Hawa wa East Africa? Mbona wao local channels zao zaonekana hapa zikiwa na habari kedekede? Sasa najiuliza ni wao pia wanakosea kuruhusu hizo channels au sisi ndio t umekosea?
Twaomba waziri husika simamia hili tupate taarifa za habari vituo vyote tuelewe yanayoendelea na Pia tupate bunge live kama wenzetu jirani, Uganda, Kenya na Rwanda
Mungu azilaze pema peponi roho za marehemu wa ajali ya kivukoni.