Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 2,718
- 6,685
Ukiwa una mtext mtu au unampigia mtu jitahidi wewe unaye piga simu au ku text ndo uanzishe mada ...unakuta mtu ana kupigia simu alafu anakuambia niambie what the meaning of this ,kama huna la kuongea tulia biblia inasema kwa Jirani yako nenda kwa kiasi ili asikukinai akakuchoka