Sharon Otieno mwanafunzi wa chuo kikuu alikuwa ni kimada wa Gavana wa Migori -Kenya, Bwana Okoth Obado. Sharon alitekwa na mwili wake ukaja okotwa ukiwa una jeraha la kuchomwa kisu.
kutokana na...
Tumelia sana, tumeomboleza sana, tumesikitika sana, sasa tuamke usingizini kuanzia Leo.
✍🏿 21/05/1996 tulipatwa na janga kubwa sana la kuzama kwa MV Bukoba iliyo tengenezwa tangu 1979 ikawa...
Watu wanne wamejeruhiwa na wengine zaidi ya 40 wamenusurika baada ya basi la Kapricon walilokuwa wakisafiria kuacha njia na kuparamia nyumba katika eneo la Mabungo wilaya ya Moshi
Mwanaume mmoja wa Kisiwa cha Ikuza wilayani Muleba amefariki na mwanamke mmoja kujeruhiwa baada ya kuchomwa visu sehemu tofauti za miili yao.
Diwani wa Kata ya Ikuza, Fortunatus Matha amemtaja...
Habari wanajamvi
Nataka kufungua biashara ya mbuga ya wanyama maana nimefanikiwa kupata pori huku vingunguti.
Natafuta wanyama wa Kali kama Simba watoto na chui watoto pia. Ni moja ya njia za...
jaman naomba kujuzwa jinsi kulipia online ukiwa na mastercard je zile namba tatu ndo password au,, na je izo namba tatu ni laxima uzijaze?? na kuhusu sehemu ya tar na mwez najaza nn???
nijuzeni
Habari wana JF.
Tangu wiki iliyopita mdogo wangu amepata ajali ya pikipiki huko Songea na kuumia/kupata fractual kwenye fuvu la kichwa. Hali ya mgonjwa ni mbaya na anatia wasiwasi.
Madaktari...
Geita. Wakazi wawili wa Kijiji cha Lubanga mkoani Geita wameuawa kwa kukatwa mapanga na kunyofolewa viungo mbalimbali vya mwili, tukio linalodaiwa kufanywa na watu wasiojulikana walioondoka na...
Tabora. Mtoto Aisha Husseni (4) ameokotwa akiwa kwenye mfuko wa sandarusi akiwa amechomwa moto na watu wasiojulikana.
Tukio hilo limetokea mtaa wa Sukuma jana Septemba 23, 2018 katika kata ya...
Serikali imeweka bayana kuwa haina mpango wowote wa kufuta makato ya asilimia 15, kwenye mishahara ya wanufaika wa mikopo ya elimu ya juu nchini na itachukua hatua kali kwa wale wanaochelewesha...
Mbunge wa Jimbo la Mtama Mh. Nnauye Nape amepata ajali ya gari katika kijiji cha Kibutuka akiwa njiani kuelekea Liwale kwenye kikao cha Halmashauri kuu ya CCM Mkoa.
Inaelezwa kuwa alikuwa...
Kesi hiyo namba 13 ya mwaka 2018 itasikilizwa Jumatatu Septemba 24, 2018 katika Mahakama ya Hakimu Mkaizi Kisutu mbele ya Hakimu Huruma Shaidi
Mbali na Msanii Maua Sama, Watangazaji Sudi...
KUNA WAKATI NAWAZA "MBELE "SANA..NATAKA KUTIMILIZA MENGI SANA ..!...TUTIMILIZE PAMOJA BASI RAFIKI YANGU.
1.Nataka na wewe uamue kutimiliza kitu..!Usiende siku zote mwaka mzima au miaka miingi bila...
Salam wanaJF!
Mtaani kugumu sana… kila mtu anatumia nafasi yake kukaba 18 yake. Hakuna huruma mtaani kabisa.
Mtu unatafuta nyumba ya kupanga mjini, dalali anataka umlipe kodi ya mwezi mmoja...
mimi kama mdau sugu wa daladala huwa napanda nikijua kabisa lazima nifunge mkanda lkn huwa hakuna hiyo wala siwezi kushauriwa hivyo na trariki kama ambayo huwa wananishauri nikiwa kwenye mabus ya...
Naomba niiwe mkweri katika hili, binadamu tulio pewa nafasi nyingine yakuishi ikiwa wengine wanawekwa kwenye mafriza mochwari,wao ni watu kama sisi sio robort, swala linapo kuja pale kufa na...
Sio siku chache nimetoka kupambana na ndugu wanaokuja kusalimia kwa lengo mufirisi, akiondoka ni kutangaza mambo ya uongo na majungumajungu utadhani walikuwa maagenti wa Mossad wametumwa...
Mbunge wa (CCM), Jimbo la Mtama mkoani Lindi Nape Nnauye, amepata ajali baada ya gari aina ya Land Cruiser VX yenye namba T 349 DEL alilokuwa amepanda kupinduka leo asubuhi Septemba 24, 2018...
Umekua ni utaratibu wa kawaida kabisa hapa nchini kwa watu wasiokua na mamlaka yoyote yale ya kiserikali kuagiza au kutoa oda kwa serikali kufanya jambo flani kwa mtazamo wao waonavyo, mfano...
Hatujifunzi, hatujifunzi na hizi ajali na maafa makubwa? Sisi ni kenge? Hadi tuone damu masikioni ndio tusikie maumivu?
Kama kweli serikali hii ingelikuwa sikivu, ingelisikiliza Hoja za mbunge wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.